Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mimi natamani mtu anayejua mpira aje aniambia falsafa ya timu yetu ni ipi na style yetu ya uchezaji ni ipi. Nikiangalia goli la pili la Haaland napata hasira kabisa. Mtu anapiga kichwa kama yupo uani anacheza na watoto wake.

Wachezaji ni tatizo ila kocha ni tatizo zaidi.
 
Huyu kocha aondoke tu kwa kweli hatuwezi kuwa na timu inayoshinda kwa bahati halafu insogopa kucheza mpira ni bora ufungwe lakini umecheza mpira. Solkser alikuwa asumbuliwi hivi na City alikuwa anamtesa sana Gadiola. Timu imekuwa ys kinyonge utadhsni ni Hull city
 

Iicha na varane wako vizuri, ni injury tu.
Ila hawa walioko sasa hivi ni worse

Hii team haina depth kabisa, first eleven ikiumia kocha hana options.
Is how low wamefika hapa
 
Team yenu ni takataka kuliko hata maelezo.. Yan ni ovyo kbs.. Team haijulikana wanacheza hata kwa njia ipi had leo.. Yan nyie mateso mnayopitia sio ya kuisha leo wala kesho.

Narudia tena wenzenu liver mlikua mnawacheka kukaa miaka 30 bila kombe tena mkawa mnatamba mnasema nyie haitakaa itokee nawaambia kuja mbebe iyo EPL lbd muibe kwa city ambaye yuko jiran yenu lkn sio kubeba.
 
Kocha kapewa hela kasajili lakini timu haieleweki hadi leo timu inacheza kwa kuogopa wakati wachezaji wazuri wapo timu haina kasi kabisa ni bora enzi ya Solkser japo yeye aliponzwa na Pogba, Martial, Rashford na Maguire.Nahisi huyu kocha kashapoteza dressing room. Ni kama timu yetu inaendaga uwanjani kuzuia then ikifungwa itafute goli la kurudisha.
 
Wazee hapa hamna timu tuacheni masihara, mpira Kila mtu anauona, Kuna timu unaziona zinafungwa lakini unaona kabisa wana Ari ya kucheza na kutafuta goli, Yani UTD imekuwa timu mbovu namna hii?, timu hata Ipswich town wanaweza kutamani kucheza nazo, Kwa mpira huu natamni sana tusishiriki hata Europa msimu ujao, yaani next season tubaki na ligi kuu tu basi!, ni aibu kutazama timu kama UTD Kwa namna hii ya uchezaji, kama timu inacheza Sasa inacheza Nini?, at least hata ionekane timu inacheza vitu gani but hili halionekani kabisa, hii ni dhambi Kwa timu kama hii kuendelea kuwepo kwenye mashindano makubwa.
 

Ifike mahali ushabiki uwekwe pembeni, hii team inahitaji total overhaul
 
kipindi chelsea wanamtangaza mauricio pochettino kuwa kocha wao ajaye, nakumbuka mshabiki mmoja wa chelsea pale twitter aliandika:

"chelsea na manchester united wote wataanza msimu mpya wakiwa sawa kwa sababu kwa msimu huu sijaona msingi unaoeleweka wa kiuchezaji aliyoujenga ERIK TEN HAG".

sikutaka kumuelewa nyakati zile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…