Manchester United (Red Devils) | Special Thread

[emoji599] ๐…๐š๐œ๐ฎ๐ง๐๐จ๐จ ๐๐ž๐ฅ๐ฅ๐ข๐ฌ๐ญ๐ซ๐ข:

โ€œManchester is all about United. You don't see ๐‚๐ข๐ญ๐ฒ ๐ฌ๐ก๐ข๐ซ๐ญ๐ฌ or ๐Ÿ๐ฅ๐š๐ ๐ฌ. Sometimes, with my girlfriend, we go out and say ๐ฅ๐ž๐ญ'๐ฌ ๐ญ๐ซ๐ฒ ๐ญ๐จ ๐Ÿ๐ข๐ง๐ ๐จ๐ง๐ž ๐š๐ง๐ ๐ฐ๐ž ๐๐จ๐ง'๐ญ ๐ฌ๐ž๐ž ๐ญ๐ก๐ž๐ฆ.โ€ [emoji23][emoji3590]

[MartinCharquero]
#๐™๐™ง๐™ช๐™จ๐™ฉ๐™๐™๐™š๐™‹๐™ง๐™ค๐™˜๐™š๐™จ๐™จ๐™€๐™๐™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#๐™๐™ฃ๐™ž๐™ฉ๐™š๐™™๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™๐™š๐™๐™–๐™ฃ๐™จ[emoji2522]
#๐™Ž๐™๐™š๐™ž๐™ ๐™๐™…๐™–๐™จ๐™จ๐™ž๐™ข๐™„๐™ฃ๐˜ผ๐™ฉ๐™ˆ๐™–๐™ฃ๐™๐™ฉ๐™™[emoji837]
#๐™‚๐™ก๐™–๐™ฏ๐™š๐™ง๐™Š๐™๐™[emoji469]
#๐™‚๐™‚๐™ˆ๐™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
๐…๐š๐œ๐ฎ๐ง๐๐จ ๐๐ž๐ฅ๐ฅ๐ข๐ฌ๐ญ๐ซ๐ข on his sporting icon: "It's difficult this one. I'd say the three players I admire most are [Lionel] ๐Œ๐ž๐ฌ๐ฌ๐ข, [Cristiano] ๐‘๐จ๐ง๐š๐ฅ๐๐จ and ๐๐ž๐ฒ๐ฆ๐š๐ซ. They are the three attackers that I really enjoy watching."


#๐™๐™ง๐™ช๐™จ๐™ฉ๐™๐™๐™š๐™‹๐™ง๐™ค๐™˜๐™š๐™จ๐™จ๐™€๐™๐™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#๐™๐™ฃ๐™ž๐™ฉ๐™š๐™™๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™๐™š๐™๐™–๐™ฃ๐™จ[emoji2522]
#๐™Ž๐™๐™š๐™ž๐™ ๐™๐™…๐™–๐™จ๐™จ๐™ž๐™ข๐™„๐™ฃ๐˜ผ๐™ฉ๐™ˆ๐™–๐™ฃ๐™๐™ฉ๐™™[emoji837]
#๐™‚๐™ก๐™–๐™ฏ๐™š๐™ง๐™Š๐™๐™[emoji469]
#๐™‚๐™‚๐™ˆ๐™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
7hag anafundisha brand gan ya football?

Nikisema huyu kocha Ni average nitakuwa nakosea?

Hapa chini Ni mechi tofauti Lakini uchezaji Ni ule ule

Je Nani walimpa Cheti Cha ukocha?View attachment 2793270View attachment 2793271
Mwingine anaweza kusema anatumia mbinu hiyo ili kubypass press ya wapinzani wao kwenye msitari wake wa pili wa ulinzi.

Unapochukua content za watu uwe unatoa credit na una copy kama zilivyo siyo kuchagua zinazokufurahisha wewe tu.
 
Hiyo hadithi inanikumbusha mbali sana ,enzi hizo kitaani kipindi tunasimuliwa ilikuwa naisikiliza kwa makini mno.
 
Bila ya hawa jamaa nisingekuwa mshabiki wa manchester united mwaka huo 1999 rasmi nikawa mshabiki wa manchester united [emoji3590][emoji3590][emoji3590]

View attachment 2794305
View attachment 2794306
Kumbe huwa nabishana na wazee kabisa ,polen sana aiseee saizii nitakuwa nauuliza umri Kwanza kabla ya kufanya arguments...huyu anashabikia united wakati mim ninamiaka 3[emoji23][emoji23]
 
Tulianza siku moja kushabikia manchester united.

Ilikuwa majira ya jioni, dwight yorke anafunga hatrick.

nilikuwa na miaka 7

Maajabu.
Yeah ilikuwa mechi ya maana sana nadhani nilikuwa na miaka 15. kuanzia siku hiyo Man united ni kama chakula changu cha uzima.
 
Bila ya hawa jamaa nisingekuwa mshabiki wa manchester united mwaka huo 1999 rasmi nikawa mshabiki wa manchester united [emoji3590][emoji3590][emoji3590]

View attachment 2794305
View attachment 2794306
Sina kumbukumbu vizuri ni mwaka gani lakini ni mwanzoni mwa kati ya 2002-2003 kama sijakosea. Ni mechi ambayo Man U alishalala ila dakika za nyongeza na zikisalia sekunde Beckam anatengewe mpira wa adhabu karibu na lango la wapinzani. Kabla ya kupiga ule mpira anawahamasisha mashabiki kushangilia,anapiga ile free kick chuma inaitika wavuni. Nikasema hapa sasa ngoja niweke kambi๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Mechi unayoongelea itakuwa ni ile ya 1998 vs Leicester City ndiyo alifunga goli dk ya 90. Mpaka dk ya 76 United walikuwa wamefungwa 2-0. Dk ya 79 Teddy Sheringham akaugusa mpira wa Beckham (deflection) likawa goli, Becks akitoa assist.

Dk ya 90 ndiyo Becks akawainua tena mashabiki kwa kwenda kambani kwa freekick ya hatari. Mechi nyingine aliyowahi kuinusuru United kutoka kwenye dhahama ya kipigo ni ya Blackburn Rovers (wagumu) hiyo ndiyo ilikuwa kwenye miaka ya 2000 lakini ilikuwa siyo kwenye injury time.

Beckham ametushawishi wengi kuishabikia United. Miaka ya 2000 nilikuwa na T-shirt moja ya Beckham ina picha yake. ๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ