Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe jamaa nini kimekupata. Huyo jamaa kujibishana naye unajishushia heshima tu mwenzako ana ID kama uchafu
Samahan mkuu huyo jamaa simjui ,but nilihisi Ni ID fulan ilikuwa inanitukana pia

Halafu leo niliamka vibaya Sana nimefanyiwa figisu kazini zikakwama ,kuja huku jamaa ananitukana tu
 
Kipara atakaporudi breaks
  1. Mount na bruno wagombanie namba 10. nimelikumbuka pambano la higuain dhidi ya benzema nyakati za mourinho.
  2. Casemiro apumzike.
  3. Fair play kati ya garnacho na rashford.
  4. Fair play kati ya antony na amad baada ya kutoka majeruhi.
  5. Kobbie, gore na hata hannibal wagombanie nafasi. Mpira haupimwi tena kwa hoja ya umri bali uwezo ndio maana lamine yamal anacheza kule barcelona.
  6. Nimemshuhudia fabregas akicheza arsenal akiwa na miaka 16 miaka 18. iliopita. Hoja ya umri ni muflisi
  7. Amad. Shaw, malacia, reguilon, wan bissaka....back from injuries
No more excuse tena kiparaa.
Rotation ndiye muokozi wake dhidi ya injuries

  • Mechi yetu dhidi ya liverpool naomba inipitikie, kama namuona kipara akipanga kikosi cha mazoea. Wale mbwa watatutoa roho hiyo siku.
  • Kabla kipara hajaondoka, atumalizie filamu yetu ya ukatili aliokwisha anza nayo.
  • Nachungulia juventus, huyu Locatelli hastahili kucheza juventus, kibibi kizee atupe sisi huyu bwana then wao tuwape casemiro, varane na eriksen.

Mnaonaje
 
Leo Nilikuwa na stress Sana mkuu ,Kuna majanga yalinipata ,kuja Jf nifurahi jamaa ananifata na kunitukana tu

Itabidi hii dhambi nikatubu kabisa
 
Waliokuwa wanasemwa hawafai Leo wameokoa kibarua Cha Kocha


Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini eti MacTominay na Maguire Ni hawafai


Ni structure mbovu tu ya kocha
 
Mchambuzi mropokaji tu
Rejea mechi ya Brentford vs Man U tunagongwa goli nne msimu jana nani alichoma ayo magoli yote na wewe ulisemaje iyo siku
Taratibu aisee usiniropokee

Mimi Maguire huwa nawatania tu but ni CB anayetumika vibaya

Kama Maguire mnamuona tatizo , au Degea mlimuona Ni tatizo kubwa Basi Onana Ni tatizo zaidi
 
“#MUFC were absolutely useless.”

“They were doing a lap of honour like they’d just won the Champions League!”

“They should be apologising to the fans. They know it’s papering the cracks.”

Gabby Agbonlahor tips on to Man United for their performance v Brentford
 
Cha kwanza kabisa amsajili Luis Ocampos
Denzen Dumfries, David Raum, Antonio Silva , Florina Writz na Jacob Ramsey

Amuondoshe Rafael Varane, Jadon Sancho, Eriksen, Diogo Dalot, Tyrel Malacia na Facundo (Pellistri on loan), Antony Martial

Hapo hata wakimfukuza angalau tutakuwa umeshaanza safari ya kurudi juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…