Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa kikosi kilichoanza leo ni wachezaji wawili au watatu wanaofaa kuvaa uzi wa hadhi ya man united
 
Subiri wewe utoe hata draw uone Kama wapo na wewe

Just draw tu

Huwajui nyumbu wewe
 
Tunacheza vibaya sana, situation mfano wa hii itakuwa ni mara ya 100 kuishuhudia.

Mara nyingi huondoka na kichwa cha kocha mkuu.
Wabadilishe na fitness Coach pia hii siyo timu ya kucheza EPL wanafitness ndogo sana.
 
Nasikitika Sana maana 7hag anaenda kuliwa kichwa

Napenda abaki awapeleke nafasi za 12-15 huko

Huyu kocha nilimkataa toka mwaka Jana ,ule ushindi wa papatupapatu nilikuwa najua Ni wa muda mfupi tu ila kiuwezo hamfikii hata Ole gunar sosha
Ulimkataa wewe kama nani?
 
Subiri wewe utoe hata draw uone Kama wapo na wewe

Just draw tu

Huwajui nyumbu wewe
Hahaa walikuwa wanahesabu miaka yetu 9 bila epl wakati ferguson anaondoka.what goes around comes around now wana miaka 11 tangu wachukue EPL.
 
Ukisikia fall of roman empire ndo hii.zamani destination ya kila mchezaji mkubwa aliyekomaa ilikuwa ni man u ila kwa sasa mnapata "potential players".kila la kheri boys
 
Zile mbwembwe za EtH za kusafisha kikosi na kuweka nidhamu kwenye timu nilizipenda sana, sikujua kwamba hata hajui anachotaka kufanya.

Kwa uchazaji wa Rashford wa kichoyo katika michezo iliyopita, angekuwa kocha makini kama Pep, Rashford angekuwa nje kabisa ya kikosi. Ila kwa EtH, ni poa tu. Onana hivyo hivyo pia, una makipa watatu kwenye timu, watumie kushindana ili wasibweteke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…