Leo hata tukifungwa sio mbaya maana tayari tunacho kitu cha kusingizia, msiba wa mke wa Sir alex ferguson mama yetu Cathy Ferguson amefariki dunia.
Kwanza kwa tamaduni zetu Afrika sio busara kuwasema wafiwa, leo tunakuomba upumzishe hilo bakuli lako, wenzio tuko kwenye huzuni ya kuondokewa na mama yetu kipenzi.