Nimeishia hapo ulipojiita "Mchambuzi nguli"Nataka kuunda a best transition team in the world
Haya yalikuwa maneno ya 7hag
Wenye upeo mdogo walishangilia wakasahau alichukuliwa Ajax sababu ya tik Tak au total football,
Wachambuzi nguli tulionya huyu Ni average coach but tukaonekana tuna chuki ,sababu tu alishawekwa Level ya kina Pep na Klopp
De gea alipigwa saba mwaka jana na Liver, pia alipigwa 4 na brighton. Kama wewe ni mfuatiliaji wa mpira hasa timu ya man u angalia mwaka jana timu yetu ilifungwa magoli mangapi ndio utajua tatizo lipo wapi. Tulimaliza na goli difference ndogo sana na nadhani moja ya timu iliyofungwa magoli mengi EPL sisi tulikuwemo.Uzembe wa mabeki na uwezo wa kuzuia mpira unaingiliana vipi?? De gea alikua anazitoa nyingi tu jamaa mguuni mzuri sana ila kukaa sehemu sahihi wakati anapigiwa mpira ni tatizo.
Mkuu umechambua kama geologist
Onana anapiga mipasi imenyooka kama Xavier HernandezWazee wa footwork
Nimeishia hapo ulipojiita "Mchambuzi nguli"
Hutaki au nikupe laana ya kutojua mpira mileleNimeishia hapo ulipojiita "Mchambuzi nguli"
Malizia mwenye beji ya FIFA kutoka Zurich UswisSio mchambuzi Masingeli ni Cha-mbuzi nguli.
Ghafla sura na sauti ya Kinabo imenijia kwa kasi sana.Mkuu umechambua kama geologist