shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,151
Kwani unai emry hakufeli arsenal?Mdau kutoka fb
Everton chini ya ancelot ilikua top 6 wachezaji wakawaida tu ila kwakua kocha ni mbunifu anacheza nao ivo ivo ona kaondoka
Everton imeshuka mpk mwishoni wa msimu jana nusu ishuke daraja
Kwaio mkiambiwa kocha wetu ni bado kocha kinda muelewe angalia unai emery kaichukua aston villa ikiwa ya 17 kwenye msimu game ya kwanza anacheza na united ya moto tunakandwa 3-1
Kamaliza msimu wa 6 sjui 7 anacheza makombe ya ulaya
Shida yetu washabiki kusema ukweli hatutakj kwamba kocha wetu ni KINDA kimbinu umri mkubwa ila kinda tactically sio mzuri kubadilika badilika na ngumu kumanage resources alizonazo mpk umpe resources kamili
Mtabaki kulaumu wachezaji weeee mpk mmalize kikosi ila molali na discipline ya mchezaji inaanzia kwa kocha ake anaishi aje na wachezaji anawafunzaje direct and indirect mtu kuwa na performance nzuri????
Mtu anakosea kila mechi wewe uyo uyo unampanga kila game yupo kila game yupo kwann asiendeleze ufampa mzee
Em angalia city angalia Madrid angalia Brighton angalia aston villa angalia Newcastle angalia hata arsenal TU
Gabriel JESUS si anakua ubao fresh dogo nketiah anaanza skuizi we unazan kwann asiperform akipewa chance
Angalia city msimu ulopita vikosi vyake kila game mabadiliko yapo kila game
Iyo ndo namna ya kujenga molali kwa wachezaji mtu anataka akiingia afanye kweli kmmk mana anajua akileta usenge ni bench game 3
Sasa wewe kocha ako mzuri wachezaji wabaya kila game Rashford Bruno Antony
Na unategemea tu always upate ushindi unazani waaalimu wa timu pinzani wapuuzi hawakusomi mzee
Afu mtu anakwambia ety united shida players kweli tupo wazima wanangu hivi wewe na spurs palace Brighton mchezaji mmoja mmoja nan anaikuta squad ya UNITED
Timu I ashinde kuperform kwasababu kocha hana nidhamu na wachezaji wake hata kama ni wewe unajitoa mazoezini upate nafasi ya kucheza afu huchezi na anayecheza anacheza UTOPOLO na kila mechi anapangwa wewe kama player HUPOTEZI MOLALI KWELI??
Bado mwezi mmoja ,wote humu mtalamba matapishi Yenu kuwa ETH Ni average coachKwani unai emry hakufeli arsenal?
Kwani ten hang aliikuta team nafas ya ngapi na msimu ukaisha tupo nafas ya ngapi?
Kwanza ufaham team imeanza kucheza vizuri ni swala la muda kila kitu kitakua mahara pake.
Ancelotti kaifundisha Everton yenye iwobi na james Rodriguez unasema wachezaji wa kawaida.
Shida Manchester sio Glazer's pekee bali hata mashabiki kama nyie ni moja ya tatizo.MPENI MDA KOCHA
Daktari wa Timu anatatizo.[emoji599] 𝐋𝐢𝐬𝐚𝐧𝐝𝐫𝐨 𝐌𝐚𝐫𝐭𝐢́𝐧𝐞𝐳 took painkillers to play in the games against 𝐁𝐫𝐢𝐠𝐡𝐭𝐨𝐧 and 𝐁𝐚𝐲𝐞𝐫𝐧 𝐌𝐮𝐧𝐢𝐜𝐡, and further tests on Thursday revealed that his foot fracture has not healed correctly.
[Daily Mail]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]
man utd |
View attachment 2769040
Kaandikaje huyo, kama umemuelewa nisaidie. Japo nahisi kasema hapendi ku argue.Unaandika kama huna meno😂😂😂
Sawa lady gagaUna kiwango gani cha Elimu??ulihitimu kweli hata darasa la Saba??maana kwa Uandishi huo hata mtoto wangu wa Kindergarten anakushinda,halafu ukute ninyi ndio mnaokataa Bandari isichukuliwe na Waarabu wakati hata kuandika kwenyewe shida,wewe na wenzio wa Man U mtabaki kuwa MANYUMBU na mtaendelea KUGONGWA mpaka MCHAKAE KENGE ninyi
Lady gaga tena🤔🤔Sawa lady gaga
mchezaji mbaya mwenye 30+goals kwa mwaka jana kwa team ambayo inazidiwa possession na Burnley, huyu rashford angekuwa Chelsea kuna matokeo yasingeisha yalivyo , Chelsea kafungwa Moja Bila na Astonvill na Nottingham, Chelsea kaenda 0-0 na Everton , Chelsea kafungwa 3-1 na kakosa penalt dhidi ya westham , 1-1 na Liverpool, muweke rashford kwa nafasi Chelsea anatengeneza matokeo yasingekuwa hivyo Jackson anakosa goli mpira wa kusuma hata na tumbo . Rashford ni Moja ya clinical finisher yupo team mbovu.ana nani cha ajabu hata sehemu sahihi na muda wakupiga pasi haujui anachoweza ni kujigongagonga tatizo hamtaki kusema ukweli misimu 6 sasa rashford yuleyule habadiliki mara mwisho mlisema mzuri akitokea kushoto sahivi unasingizia timu mbona na palace ile ya cup hakuwepo tulicheza vizuri !
Bado hujasema vzrPoleni wenzangu munaopeteza maokoto kwa kuiangalia hii timu.
Me nitarudi tena pale timu itakapo kua vizuri.
Nangoja timu atapo kabidhiwa mwarabu na huyo kipara ngoto atakapo fukuzwa.
Nb. Kipara ngoto namhukumu kwa sajili zake, sio kiwango chake.
Anajua kufundisha lakini hajui kusajili.
Huu ndio ushabiki maandazi SasaPoleni wenzangu munaopeteza maokoto kwa kuiangalia hii timu.
Me nitarudi tena pale timu itakapo kua vizuri.
Nangoja timu atapo kabidhiwa mwarabu na huyo kipara ngoto atakapo fukuzwa.
Nb. Kipara ngoto namhukumu kwa sajili zake, sio kiwango chake.
Anajua kufundisha lakini hajui kusajili.