Mimi Nimeanza kumpinga 7hag Ni kocha wa kawaida mwenye uwezo mdogo since anafikaDogo nawe usijikute mchambuzi kiivo. Man u inashida sawa ila hata wewe ni mpiga zumari huna uchambuzi wowote hilo nilithibitisha pale Man u wanaposhinda huwa unajizima data kabisa hata kucoment humu huwa hutokei thats not sportsmanship.
Zaidi ni mpiga kelele wa Arsenal na hater wa Man U kwa upande huo naweza kukuelewa.
Mimi Nimeanza kumpinga 7hag Ni kocha wa kawaida mwenye uwezo mdogo since anafika
Labda Kama unaniona leo
Basi tunapishana tu ,Mimi ndiye wa kwanza kumpinga 7hag toka Msimu Jana anashinda ,itakuwa leo hiiNafahamu mimi hili jukwaa nipo miaka mingi sana. Nacho kupinga wewe pale timu ikishinda unajichimbia shimo huonekani. Wakati mwingine timu inashinda ila haijacheza vizuri ila siku tukifungwa ndio unaibuka na uchambuzi wako ambao ni wa kishabiki tu hauna objectivity yoyote.
Alafu ndio kaongezewa mshahara 350k
Huyu jamaa hata sajili zake hazielewekiHao waingereza wanavyomkuza unaweza kudhani amefikia hata robo ya kiwango cha Louis Nani.
Timu ikishakuwa na mchazaji anayeangalia record zake pekee na hasa akiwa na uwezo wa kawaida lazima timu ipate shida.
EtH anatakiwa kumpa ukweli Rashford na kumtuliza Bench.
sio ETH tu hata arteta ni tapeli kama wetu, mtakaa miaka 5 nyingne Bila EPL wala UCL.Graham Potter is tactically superior and better than Tan Hag
Glazed Kwa nini anakataa martial asiuzwe? Kwanin anampangia kocha Cha kufanya.Mmetaka Striker Kama Haaland kawapa Rasmus Hojlund Β£72m.
Mmetaka kiungo kama FDJ kawapa Mason Mount Β£55m
Mmetaka a ball playing golie kawapa Andre Onana Β£47M
Mmetaka mkabaji kawapa Amrabat
Kawapa Sergio Reguilon na Jonny Evans kama kifungashio
Glazers ainβt a Problem
Ulichoongea ni ukwel kabisa. Hao kina de zerbi hawamzidi hata kidogo ten hag.De Zerbi na Ruben Amorim hawamzidi uwezo Ten Hag hata kidogo.
Hans Flick huyu ambaye ametimuliwa hata national team ya Ujeruman kwa kushinda michezo michache kuliko aliyopoteza?
Je Arsenal ilikuwa inacheza butuabutua kama manjesta?hamis77 Msimu juzi mpaka round ya 5 EPL arsenal mlikuw mnaburuza mkia, je arteta alikuw kiazi, au ni mdomo umepewa mkubwa, unaongea tu.
Jifarijisio ETH tu hata arteta ni tapeli kama wetu, mtakaa miaka 5 nyingne Bila EPL wala UCL.
Ten hag kawazid nn hao,au mnaongea tuUlichoongea ni ukwel kabisa. Hao kina de zerbi hawamzidi hata kidogo ten hag.
Hata huyo De zerbi akiletwa man u atashindwa tu. Hawezi kuendana na pressure ya zile timu 4. Man u , man city, arsenal, liverTen hag kawazid nn hao,au mnaongea tu
Ten hag Ni kocha Mwenye uwezo mdogo yamkin anazidiwa hata na ole gunar
Hamna kitu huwa kinanikera kama mashabiki kumtetea Erik Ten Hag kwa mafanikio yake ya Ajax, do you remember what happened to Frank De Boer in the pl aliyeshinda mataji manne (4) mfulululizo ya ligi pale Ajax? Frank De Boer is the worst pl coach of all the time with zero points and zero goals scored akiwa Crystal Palace. Let's judge him akiwa United na sio kwa record zake za zamani akiwa Ajax.Kufundisha United huwezi kufananisha na brighton au Spurs. Ni vitu viwili tofauti
But naamin ni mitizamo tu ,mbona Ole alienda vzr tu kabla hajasalitiwa na baadhiHata huyo De zerbi akiletwa man u atashindwa tu. Hawezi kuendana na pressure ya zile timu 4. Man u , man city, arsenal, liver
Yap.. ole alikuwa anaipeleka Man u pazuri kulingana na Utamaduni wake.But naamin ni mitizamo tu ,mbona Ole alienda vzr tu kabla hajasalitiwa na baadhi