Manchester United (Red Devils) | Special Thread

10 hamuwez kufungwa hata 7 hamuwez kufungwa ,

Ila Sion mkishinda

Mna kocha wakawaida sana
 

Ujinga wa kocha ndio unatuponza, ameshaona kuna wachezaji hawachezi kama team lakini bado anakomaa nao. Rashford kwa sasa ni kama kirusi kwenye timu. Hajui ni wakati gani acheze na mpira na wakati gani atoe pasi.

Tuna kikundi cha wachezaji wazuri lakini hatuna timu.
 
Safari hii ni kumi
Tukija kwenu ongeza mengine matatu hapo juu.
 
Kuna mda ua unaongea point, lakin Conte hapana kwakwel.
 
Alafu ndio kaongezewa mshahara 350k
 
Tuache utani wazee inaweza kuwa kweli Ten Hag tumepigwa. Mnaona mambo wanayofanya Spurs? Iweje kila siku sisi tu ndiyo project zetu zinafeli!!!
Spurs hawakumuangalia uson Conte

Mchumi Dani Levi alimpa pesa asajili lakin lawama akaendelea kupewa yeye na ulimwengu wa Soka kwa kufata mikumbo ukaamini

Spurs walikuwa wanapaki Basi wanasubiri kaunta Ni Mpira ulimsaidia mwanzoni but huwa una muda fulani

The same path aliyopita nayo 7hag , kwasasa hata Everton hamuwez kumfunga convincingly

Levi aliposhtuka anapigwa ,akamtimua Conte ,akamsajili Ange mwenye falsafa za kisasa


Conte had Sasa Hana timu

Mourinho ukimleta EPL Sasa hivi wanaweza mshusha daraja kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…