Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ana uwezo mkubwa wakati anapigwa back-to-back. HAHAHAH!
 
Ana uwezo mkubwa wakati anapigwa back-to-back. HAHAHAH!
Kocha gan mkubwa unayemjua hajawahi kupigwa back to back

Hii haiondoi ukweli mna kocha mwenye uwezo mdogo

Hata hili nalo linataka mjadala aisee
 
Kuanzia sasa siwezi fuatilia mpira wa utd nadhani Glazer sio tatizo, tatizo ni makocha wajinga, huwezi mpanga mchezaji mchoyo kama Rashford mechi wakati hakupi matokeo unawaacha vijana wenye uwezo nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…