Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu najua tunajipa tu matumaini, but I think 1/4 will be our Omega, sidhani kama tutaendelea zaidi ya hapo.:sad:

Usife moyo mapema ....ndio maana timu yetu inaitwa Man Utd

Subili ijumaa uone tunapangiwa nani kwanza
 
we gave him his first EPL TITLE and his first CL HEART-TRICK....RVP remember there is only one UNITED!!!!
 
jhahaha and thats y it is called theatre of dreams.
 
Reactions: Mbu
Magoli 2 ya set pieces, goli 1 la open play, nyota wa mechi David De Gea! Tafakari
 
ukiungalia mpira wa leo waliocheza man u tunagundua kabisa kwamba technique alizozitumia moyes keo ni za ferguson completely (man u ya zamani) hawakuwa na mpira wa kuaa nao sana giggs alijitahidi sana kupiga mipira mirefu kama ambavyop scholes alikuwa anafanya plus na wing kufanya kazi zao za kukimbiza na sio mpira soft wa kutaka kupiga pasi kutoka kwa kipa kufunga goli.as long as man u ikifungwa blames anapewa moyes na pia leo tumeshinda congrats na e pia tumpe moyes za kwake(mnyonge tumnyonge lakini haki yake tumpe) but still i/we want him out.
 
checking out the boys!


evergreen giggsy


boxing match?


everything was under control


1-0


2-0


borrowed time??


3-0


job well done!!


super wayne man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…