Wachezaj watano jumlisha na aliowakuta inatosha kabisa kuweka falsafa zake, lakin anatetewa mpaka apate wachezaj 11 wote wawe fitAnaendelea kuwapata...
Onana
Malacia
Martinez
Casemiro
Mount
Hojlund
Anthony
Amrabat - loan
Hawa ni wachezaji 8, sijamjumuisha eriksen.
Anapaswa kuanza na hawa kwanza.
Hapo bado dumfries/ frimpong
Mlinzi wa kulia
Midfield
Winga wa kulia
Ina maana hii ni timu kamili
Yaan Grazer wanahusika vipi Hadi kucheza ovyo dhidi ya BurneyHata akija Guardiola kwa hii management ya United nae ataonekana mbovu tu.
Shughuli ya hapo anaijua vizuri Mourinho. View attachment 2759998
Hapa tunarudi kwenye press ya cristiano, alisema mfumo wa mazoezi na training facilites ni kama akivyouacha miaka 10+ iliyopita hakuna mabadiliko yoyote wanaishi kwa mazoea.hapa nimekuelewa.Script ya wachezaji wa United iko obvious kwa makocha watatu sasa.
Ila kuna uwezekano mkubwa sana hawana fitness coach.
Hiyo squad fitness yake ni ndogo sana ndiyo maana hata basics za kawaida wanashindwa.
Wamebadilisha makocha wengi ila sijaona wakibadili fitness coaches ilihali the script is obvious.
Ukiangalia kwa mechi mbili nilizoshuhudiwa mwanzo wanacheza vizuri thirty minutes baada ya hapo wanaishiwa pumzi.Hapa tunarudi kwenye press ya cristiano, alisema mfumo wa mazoezi na training facilites ni kama akivyouacha miaka 10+ iliyopita hakuna mabadiliko yoyote wanaishi kwa mazoea.hapa nimekuelewa.
" even if they will start with me it's ok" cristiano.Anawajibika sana tena kwa nguvu kubwa timu hiyo inahitaji overhaul otherwise tunarudi kutafuta care taker mwingine.
Halafu Ten Hag ataenda kukusanya vikombe kwingine
Walitakiwa baada ya kupata mwalimu mpya wafanye signings zake mapema." even if they will start with me it's ok" cristiano.