Kuwapa kandarasi mpya halikuwa baya kwa sababu timu haisajili sasa angefanya nini kama mwalimu.Rashford
Martial
Luke shaw
Ndio wachezaji pekee waliobakia waliofundishwa na makocha watatu.
Wawili kati yao tayari wameshapewa kandarasi mpya na ten hag, tafsiri yake ni kwamba anawaamini.
Kama wanamgeuka asilie, amewaamini mwenyewe
Man united ikipoteza mechi moja ni big news kupoteza tatu si angeachishwa kazi ?Kocha atakayeamini falsafa yake.
Ten hag alipaswa ashikilie mpira wake tuliouona pre season dhidi ya crystal palace msimu uliopita hata kama atapoteza alama muhimu baadhi ya mechi.
Ukiwa kama kocha huu si ulimwengu wa kuwaridhisha wachezaji, bali ni kuwalazimisha wachezaji wafuate matakwa yako.
Angalia PSG ya enrique wanavyocheza licha ya kwamba ana miezi mitatu.
Kalinda identity yake.
Mchezaji asiyekufaa muondoe, ndio kanuni ya guardiola
Uliona Rangnick alipofuata falsafa zake kilichotokea.Kocha atakayeamini falsafa yake.
Ten hag alipaswa ashikilie mpira wake tuliouona pre season dhidi ya crystal palace msimu uliopita hata kama atapoteza alama muhimu baadhi ya mechi.
Ukiwa kama kocha huu si ulimwengu wa kuwaridhisha wachezaji, bali ni kuwalazimisha wachezaji wafuate matakwa yako.
Angalia PSG ya enrique wanavyocheza licha ya kwamba ana miezi mitatu.
Kalinda identity yake.
Mchezaji asiyekufaa muondoe, ndio kanuni ya guardiola
Kwahiyo Ten Hag ni kocha mbovu ?Anachokifanya ten hag ni kujenga falsafa yake kwa kutegemea zaidi usajili na si uwanja wa mazoezi, jicho langu dhaifu limeona hivyo.
Msimu ujao atamsajili frimpong wa leverkusen.
Atasajili RCB mwengine.
Winga mmoja
Nafikiri na midfield
Kivipi?United hata wangempata Gakpo au Nunez sasa hivi tungekuwa tofauti kidogo
Nunez huyu huyu wa Liverpool...???United hata wangempata Gakpo au Nunez sasa hivi tungekuwa tofauti kidogo
Yes Nunez alikuwa top target ya striker he was right.Nunez huyu huyu wa Liverpool...???
Anaendelea kuwapata...Man united ikipoteza mechi moja ni big news kupoteza tatu si angeachishwa kazi ?
Na sisi humu tulisema atafute matokeo kwanza falsafa zake atazifuata akipata wachezaji sahihi
Hao wachezaji ameshawapata ?
Shida ya big teams huna muda wakufanya experiment hence wewe umeajiriwa as a top coach uko proven as referred to ulivo sema "luis Enrique na psg" wewe ukifika ni ku implement na execution of your football style philosophy and work ethics mbali na hapo utatimuliwaKocha atakayeamini falsafa yake.
Ten hag alipaswa ashikilie mpira wake tuliouona pre season dhidi ya crystal palace msimu uliopita hata kama atapoteza alama muhimu baadhi ya mechi.
Ukiwa kama kocha huu si ulimwengu wa kuwaridhisha wachezaji, bali ni kuwalazimisha wachezaji wafuate matakwa yako.
Angalia PSG ya enrique wanavyocheza licha ya kwamba ana miezi mitatu.
Kalinda identity yake.
Mchezaji asiyekufaa muondoe, ndio kanuni ya guardiola
Wangepata striker anayeweza kulink up vizuri na timu.Kivipi?
Ferguson amebaki kuwa mtazamaji tu wa mpira.atakuambia bwana mdogo acha mbwembwe na ujuaji mpira hauchezi hivo venye wewe unafundisha sawa kijana hapa tuna park bus na counter attack Football wenzio wote kina van gal moyes Mourinho wamepita humo acha ukaidi