Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nani ataenda kumreplace Ten Hag ?
De Zerbi ? Bielsa ? Au Conte ?
Kocha atakayeamini falsafa yake.
Ten hag alipaswa ashikilie mpira wake tuliouona pre season dhidi ya crystal palace msimu uliopita hata kama atapoteza alama muhimu baadhi ya mechi.

Ukiwa kama kocha huu si ulimwengu wa kuwaridhisha wachezaji, bali ni kuwalazimisha wachezaji wafuate matakwa yako.

Angalia PSG ya enrique wanavyocheza licha ya kwamba ana miezi mitatu.
Kalinda identity yake.

Mchezaji asiyekufaa muondoe, ndio kanuni ya guardiola
 
Anachokifanya ten hag ni kujenga falsafa yake kwa kutegemea zaidi usajili na si uwanja wa mazoezi, jicho langu dhaifu limeona hivyo.

Msimu ujao atamsajili frimpong wa leverkusen.

Atasajili RCB mwengine.

Winga mmoja

Nafikiri na midfield
 
Rashford
Martial
Luke shaw

Ndio wachezaji pekee waliobakia waliofundishwa na makocha watatu.
Wawili kati yao tayari wameshapewa kandarasi mpya na ten hag, tafsiri yake ni kwamba anawaamini.

Kama wanamgeuka asilie, amewaamini mwenyewe
Kuwapa kandarasi mpya halikuwa baya kwa sababu timu haisajili sasa angefanya nini kama mwalimu.

Amemtaka Harry Kane kaletewa Hojlund, alimtaka De Jong kaletewa Casemiro, dirisha dogo aliletewa loanee Wachovu wachovu.
 
Man united ikipoteza mechi moja ni big news kupoteza tatu si angeachishwa kazi ?

Na sisi humu tulisema atafute matokeo kwanza falsafa zake atazifuata akipata wachezaji sahihi

Hao wachezaji ameshawapata ?
 
Uliona Rangnick alipofuata falsafa zake kilichotokea.

Wakati anaondoka alisema timu hili linahitaji Surgery kubwa ila wenyewe wakafanya minor
 
Anachokifanya ten hag ni kujenga falsafa yake kwa kutegemea zaidi usajili na si uwanja wa mazoezi, jicho langu dhaifu limeona hivyo.

Msimu ujao atamsajili frimpong wa leverkusen.

Atasajili RCB mwengine.

Winga mmoja

Nafikiri na midfield
Kwahiyo Ten Hag ni kocha mbovu ?
 
United hata wangempata Gakpo au Nunez sasa hivi tungekuwa tofauti kidogo
 
Man united ikipoteza mechi moja ni big news kupoteza tatu si angeachishwa kazi ?

Na sisi humu tulisema atafute matokeo kwanza falsafa zake atazifuata akipata wachezaji sahihi

Hao wachezaji ameshawapata ?
Anaendelea kuwapata...
Onana
Malacia
Martinez
Casemiro
Mount
Hojlund
Anthony
Amrabat - loan

Hawa ni wachezaji 8, sijamjumuisha eriksen.

Anapaswa kuanza na hawa kwanza.

Hapo bado dumfries/ frimpong
Mlinzi wa kulia
Midfield
Winga wa kulia

Ina maana hii ni timu kamili
 
Shida ya big teams huna muda wakufanya experiment hence wewe umeajiriwa as a top coach uko proven as referred to ulivo sema "luis Enrique na psg" wewe ukifika ni ku implement na execution of your football style philosophy and work ethics mbali na hapo utatimuliwa

Kwa story ya huku matofali ya kuchoma wewe kama top coach utakuja na cv yako imeshiba uko very well proven una playing style nzur then moment una implement tu kweny mechi zako za kwanza unapewa notifications kutoka kwa wakuu wameku doubt style yako haifananinii na culture history na playing style ya timu kumbuka kwenye board yupo mzee fergie huyu atakuambia bwana mdogo acha mbwembwe na ujuaji mpira hauchezi hivo venye wewe unafundisha sawa kijana hapa tuna park bus na counter attack Football wenzio wote kina van gal moyes Mourinho wamepita humo acha ukaidi

Mfano wewe ndio Guardiola au de zerbi ungetoboa hapo..???
 
Wangepata striker anayeweza kulink up vizuri na timu.

Wana energy ya kutosha, wana track back vizuri.
Wanaweza kucheza either left wing or right wing.

Probably the selfish Rashford angepoteza nafasi ya kuwa regular upande wa kushoto au angeweza kucheza vizuri kama ilivyokuwa wakati Weghost yupo.
 
Nguvu aliopewa ten hag ni kubwa sana ukilinganisha na makocha waliopita, asijaribu kuichezea.

Si rahisi kumuondoa mchezaji kama ronaldo lakini ten hag kapewa nguvu hiyo.

Mkataba wa de gea kaupiga danadana.

Sakata la sancho, uongozi umeamua kusimama naye
 
atakuambia bwana mdogo acha mbwembwe na ujuaji mpira hauchezi hivo venye wewe unafundisha sawa kijana hapa tuna park bus na counter attack Football wenzio wote kina van gal moyes Mourinho wamepita humo acha ukaidi
Ferguson amebaki kuwa mtazamaji tu wa mpira.

Mbona van gaal aliasi hilo pira la kaunta, alitukanwa na kila mshabiki lakini akabaki na mpira wake.

Fanya kazi usisikilize kelele za nje
 
Players ratings

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨[emoji2522]
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™[emoji837]
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™[emoji469]
#π™‚π™‚π™ˆπ™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
United debut [emoji3581]

Plenty more to come from you, Sofyan [emoji122]

#MUFC ||
#BURMUN
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨[emoji2522]
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™[emoji837]
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™[emoji469]
#π™‚π™‚π™ˆπ™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Diogo Dalot’s game by numbers vs. Burnley:

87% pass accuracy
50 touches
27/31 passes completed
4 ball recoveries
3/4 tackles won
3 ground duels won
2/3 long balls completed
2/3 crosses completed
2 key passes

Worked hard down the right-hand side. [emoji109]

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨[emoji2522]
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™[emoji837]
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™[emoji469]
#π™‚π™‚π™ˆπ™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…