D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Huwezi kuiona faida ya Onana ikiwa progressive wako ni casemiro na scott.Poor talent ID
Utakuja kuelewa siku hapo man utd kocha sio tatizo namba 1...Watu wanahoji brand gani ya football inafundishwa na 7hagView attachment 2759958
Kwahiyo yaliyosemwa na cristiano kuhusu hawa watoto ni kweli kabisa.Utakuja kuelewa siku hapo man utd kocha sio tatizo namba 1...
10hag ataondoka kisha atakuja kocha mwengine soon then utaona wachezaji kama kawaida yao watajituma 5-10 games watakusanya points na kucheza vizuri then after that watarudi tu into their default settings... Na mtaanza kumsema humu na wachezaji wataanza ajenda zao aondoke
Hio ndio tabia ya most of those players wa hapo Carrington
Nahisi internal talks zisha anza teari na management isha anza slowprocess zakutafuta mbadala wake 10hag na hii ndio shida ya ku coach big teams huwa zinataka matokeo tu no further excusesKocha wenu hana mipango...
Jamaa alimaliza kila kitu kwenye ile interview na piere morganKwahiyo yaliyosemwa na cristiano kuhusu hawa watoto ni kweli kabisa.
Kwa kundi la wachezaji alilonalo Ten Hag mtamtukana bure tu.Hizi ni timu za kuzipeleka moto kwa dakika 70 tu, baadae unapumzika.
Ndio man utd nilioizowea
Kwa mwalimu kufanikiwa hapo United anahitaji squad of atleast 9 first starters wapya.Kipara angelikuwa kocha wa simba au yanga kwa huu mpira wa leo angelikwisha andikiwa barua ya kuachishwa kazi
Ok tuchukulie hayo yote yana ukweli,Kwa kundi la wachezaji alilonalo Ten Hag mtamtukana bure tu.
Ni kundi hilo hilo walishindwa kufanya pressing chini ya Rangnick wakawa wanacheza dakika 30 zingine wanarudi default mode.
Mwanzo wa msimu wa 2021/2022 Ten Alitaka kucheza mpira wake kilichotokea sote tuliona, aliamua kubadili mbinu kumitigate risks timu ilikaa sawa.
Msimu huu pia amejaribu kurudi kwenye mfumo wake tumeona yanayotokea ni pattern ya hao wahuni.
Hata wakifundishwa na Mungu hawatabadilika.
They are uncoacheable.
Nani anayependa kuishi mjini bila kazi ?Ok tuchukulie hayo yote yana ukweli,
Je hao makocha hawafundishwi elimu ya kulinda heshima zao.
Si uvunje mkataba kwa mutual agreement.
Kama ni hivyo basi awajibike hata kama hana makosa.Nani anayependa kuishi mjini bila kazi ?