Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Swali mtaishi kwenye kivuli hicho Hadi lini?

Football Ni structure,sio kutegemea janja janja
We acha tupambane na janja janja zetu there is no way out
Maji tushayavulia nguo ni kuoga na kusaka 3 points hata kwakisu hata kocha aingie na formation 8-2-1
Sisi tutaka only 3 points its what's decides our standing fate

If you cant run ....walk...if you cant walk... crawl...
Mpaka tutafika progress & success needs time and commitments
 
MNADANGANYIKA NA HAKO KAGOLI KAMOJA WAKATI BURNLEY HAS BEEN THE BEST TEAM SO FAR

NAWASHANGAA MNAOJIPA MOYO CHINI YA KIPARA NGOTO TEN HAG.

MSISINGIZIE INJURIES
MSINGIZIE GLAZERS

TANGIA MECHI YA KWANZA. TUNACHEZA KAMA HATUJUI NINI TUNAFANYA.

NO IDENTITY, NO STRUCTURE, NO SYSTEM.

#TENHAGOUT
 
Burney wamekosa Quality kidogo tu

HT: Burnley (0.77) 0-1 (0.33) Man Utd
 
Kati ya makocha wote ukitoa jose..ole alikuwa na nafuu kidogo ... kulikuwa na moyo wa upambanaji angalau.

Kwa sisi tunaojia badge ya manchester united angalau kuanzia mwaka 99 , tunasikitika sana kwa hali hii tunayoiona hapa, tumerudi nyuma ki ubora kwa 75%.

Yaani timu ina uwezo wa 25% tu ya uhalisia wa timu ya mfano 2010.
 
Sio kwa kocha huyu ,hata apewe miaka 5 hawez kufundisha morden football
 
Wewe unajua mpira ,Ole ndiye alirudisha DNA ya man u ,sema mwishon alisalitiwa
 
Burnley wamecheza sana, sijui hata kipara kashangilia Nini hilo goal maana mimi tu Naona aibu na mchezo wetu mpaka nimejihisi labda ni shabiki wa Burnley.

Hii Timu hapana ni kwamba tumepaki basi au tumezidiwa tu?? Maana hii fedheha kubwa Hawa jamaa Wana vijana wadogo sana bila hivyo mapema tungeshakufa.
 
Hii mechi aingie ericksen japo nae kachoka lakini ndo kiungo mwenye ana uwezo wa kukaa na mpira tu wote hao Kati ni defense midfielder ndo maana butua nyingi hapo Kati.
 
Kumdomineti Burney nayo inamuhitaji Grazzer?
Bro na sisi tuko kwenye fezi wani, malengo ya fezi wani Mayai7 anataka kila mchezaji ajue kupiga danadana, so sasa hichi Carrington wachezaji wanafundishwa na kufanya mazoezi ya kupiga danadana tu.
 
Hii mechi aingie ericksen japo nae kachoka lakini ndo kiungo mwenye ana uwezo wa kukaa na mpira tu wote hao Kati ni defense midfielder ndo maana butua nyingi hapo Kati.
Kuna huyo manywele kazi yake kugongana na wenzake tu hapo kati sijui kwanini hamtoi
 
Angalia alichofanya dalot dakika ya 50.
Usipopenda kumiliki mpira unajitengezea mazingira ya kufanya makosa mengi mara kwa mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…