Klopp ana miaka nane ,Mikel kaja kamkuta ana misimu minne tayarimhm kumbe miaka 5 ni michache tu, mbona naona kama jana tu.
Labda mshinde njaaHii timu hii cjui kwakweli ngoja na leo tuone kama tutashinda.
Hizi kelele zako ndio maana unatagazaga una deactivate account then unarudArteta ndiyo unaona ni kocha?
Ten Hag msimu wa kwanza kapata points 75. Arteta katumia misimu 3 kupata points 70+ na hapo alishapewa timu katikati ya msimu kabla. Nyie kwenu kocha kukaa misimu 2 mnacheza upuuzi na miaka 5 bila kombe la maana ni sawa ila ikija kwa Manchester United kocha hafai!!!
Huu ndiyo msimu wa pili wa EtH, EPL tumefungwa mechi 3. Mechi ya Spurs tulicheza vizuri tu. Mechi ya Arsenal tulicheza vizuri pia ila injuries ndiyo zilikuwa zimeanza kudhoofisha kikosi.
Mechi ambazo tuli-struggle kwelikweli ni Wolves na Brighton.
Kwenye UCL tumeanza vizuri ni eneo la defense tu ndiyo linatuangusha. Varane, Shaw hawapo. Bado kocha hakupewa RCB anayemtaka.
Angalia stats za Clown Arteta.
View attachment 2759492
Hawa nafas ya 12 inawahusuLabda mshinde njaa
Mkuu hawa wasikusumbue, Hakuna kocha hapahamna cha kuongea
mtaongelea nini sasa wakati hamna cha kuongea
shindeni muongee
👍Labda mshinde njaa
Burnley wabovu ila Man Utd ni wabovu zaidiMmeona mnacheza na Burney mmejitokeza mnadhani Ni kibonde
Burney watawashangaza
Kuna muda football huwa ni mchezo wa kipuuzi sana. Sasa hivi tumefungwa mechi kadhaa kila mtu #TenHagOUT na nyie rivals mmeanza kuja na tabiri zenu kuwa tutamaliza nafasi ya 12.Hizi kelele zako ndio maana unatagazaga una deactivate account then unarud
Mech na Arsenal eti ulicheza vzr
Kona 2 dk 100
Pass 200 eneo la backline ndio mlicheza vzr
Mechi tatu au nne mmefungwa goli la aina moja....mfanano kama goli la Odegaard...wachezaji wengi Man U physicality yao sio nzuri....ndo maana mnacheza vzuri dk 15 mpk 20 za mwanzo baada ya hapo ni suala la Bruno kupewa mpira abutue kumtafuta kijana Rashidi Makame afunge goli...kwa mbinu hzi huwezi msimu huu kupata points nyng EPL....leo mbadilike vinginevyo Burnley wataonekana wazuri wakati ni wakawaida sanaKuna muda football huwa ni mchezo wa kipuuzi sana. Sasa hivi tumefungwa mechi kadhaa kila mtu #TenHagOUT na nyie rivals mmeanza kuja na tabiri zenu kuwa tutamaliza nafasi ya 12.
Last season hivihivi tuli-struggle tukaambiwa top 4 ni ndoto tukafika kwenye fixtures upepo ukawa wetu ilikuwa tunapiga kwa clean sheet, ilipofika mechi ya City tukampasua OT vigazeti na wachambuzi uchwara wakasema tupo kwenye "Title race" msimu huu tumekutana na tough opponents na injuries tayari mmeanza kusema EtH ni overrated. 😆
Arsenyani vs United mlicheza vizuri ila huwezi kusema ni mechi ambayo kama defense yetu ingekuwa vizuri mngeweza kutufunga magoli ya kizembe namna ile. Goli la Øde pekee ndiyo lilikuwa halizuiliki.
Ni suala la muda tu wote mtakubali.
Kweli kabisa wachezaji wetu physicality ni 0. Mfano mechi ya Bayern dk 20 za mwanzo walicheza mpira mzuri sana mpaka nikashangaa, baada ya hapo ndiyo matatizo yakaanza mpaka tukaruhusu goli.Mechi tatu au nne mmefungwa goli la aina moja....mfanano kama goli la Odegaard...wachezaji wengi Man U physicality yao sio nzuri....ndo maana mnacheza vzuri dk 15 mpk 20 za mwanzo baada ya hapo ni suala la Bruno kupewa mpira abutue kumtafuta kijana Rashidi Makame afunge goli...kwa mbinu hzi huwezi msimu huu kupata points nyng EPL....leo mbadilike vinginevyo Burnley wataonekana wazuri wakati ni wakawaida sana