Kihalisia huna Timu ya kuweza kupiga walau pass 10 kwa usahihi,Kwa siku nyingine tamu[emoji38] kabisa vijana barobaro sisi tunashuka Tena leo kuonyesha makali yetu watapigwa Sana waleee.
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
My prediction
Bayern Munich 1 vs Manchester United 2
[emoji355] 4:00 usiku
[emoji2522]Allianz Arena
Kauli mbiu yetu [emoji38]
Pigaaaaaa
Uaaaaaaaa
Malizaaaaa
Chinjaaaaaa
Pain went straight to Wenger orphans and cheltako livap*mbu
Itakuwa tu ni rahaa wakubwa[emoji38][emoji38]
GGMU[emoji3590][emoji3590]View attachment 2755501
Baryen 4 manjesta 0GGMU
Wewe si ukishapigwa marufuku na nyumbu wenzako kuhusu hizi tabiri zakoKwa siku nyingine tamu[emoji38] kabisa vijana barobaro sisi tunashuka Tena leo kuonyesha makali yetu watapigwa Sana waleee.
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
My prediction
Bayern Munich 1 vs Manchester United 2
[emoji355] 4:00 usiku
[emoji2522]Allianz Arena
Kauli mbiu yetu [emoji38]
Pigaaaaaa
Uaaaaaaaa
Malizaaaaa
Chinjaaaaaa
Pain went straight to Wenger orphans and cheltako livap*mbu
Itakuwa tu ni rahaa wakubwa[emoji38][emoji38]
GGMU[emoji3590][emoji3590]View attachment 2755501
Tuache mwanang, timu yetu, kivyetu vyetu.Basi mkipigwa msisisngizie 7hag hasapotiwi kwenye usajili
Maana Hadi kaamua kuwa dalali
ππππππππ 13 years later hali hii inaenda kujirudia.Man U kipindi cha pili imebanwa, yaani Bayern ilionekana kama inacheza na timu ya daraja la pili..lol
Kwahiyo bado una Iman ya kushika no.2 [emoji1787][emoji1787]Tuache mwanang, timu yetu, kivyetu vyetu.
GGMU, ETH is cooking we're coming back stronger
Hata kupiga pass 10 hamuwez,Acha uchawi kijana [emoji23]. Bayern anapasuka chuma 2 kavu leo
Hata Kama Ni Imani , ila yako Ni fekiUsiku nimeota tumempiga Bayern chuma 2
Usikimbie tu, mngekuwa na uwezo hata wakukaa na mpira dk 5 ningewabetiaLeo Bayern anapasuka screenshot hii comment chuma 2
[emoji23][emoji23][emoji23] Masingeli leo tukishamdunda Bayern nyumbani kwake tunakuomba usije na ngojera zako humu za "Bayern msimu huu ni mbovu" kumbuka tu kua leo Bayern anacheza na Mbogo aliyetoka kujeruhiwa hivyo hasira zote leo zinaangukia kwake.Usikimbie tu, mngekuwa na uwezo hata wakukaa na mpira dk 5 ningewabetia
Brighton aliweka kikos B ,mkasafa ,baryen ya Harry Kane anaweza toka na hattrick
Mpira wa ujanjaujanja kwasasa hauna nafasi ,mtapigwa Hadi na kina Burney ,View attachment 2755668
Mbona Maguire beki la dunia hayupo na timuTRAVELLING SQUAD FOR BAYERN
Goalkeepers: Altay Bayindir, Tom Heaton, Andre Onana, Radek Vitek.
Defenders: Victor Lindelof, Lisandro Martinez, Sergio Reguilon, Diogo Dalot, Jonny Evans.
Midfielders: Bruno Fernandes, Christian Eriksen, Casemiro, Facundo Pellistri, Scott McTominay, Dan Gore, Hannibal.
Forwards: Anthony Martial, Marcus Rashford, Rasmus Hojlund, Alejandro Garnacho, Omari Forson.
#ππ§πͺπ¨π©πππππ§π€πππ¨π¨πππ[emoji1179][emoji3541]
#ππ£ππ©ππππ€π§π©πππππ£π¨[emoji2522]
#πππππ ππ ππ¨π¨ππ’ππ£πΌπ©πππ£ππ©π[emoji837]
#ππ‘ππ―ππ§πππ[emoji469]
#ππππ[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2755722