KOCHA KAAMUA KUWA DALALI
𝗠𝗣𝗬𝗔
Wafanyakazi wa klabu ya Manchester United wameelezea wasiwasi wao Juu ya uhusika wa wakala wa Kocha Eric Ten Hag kwenye maswala ya Uhamisho wa Klabu hiyo,
Wakala wa Ten Hag Kees Von amekuwa na ushawishi mkubwa kwenye maswala ya uhamisho huko Old Trafford kupitia kampuni alilolianzisha Ten Hag
Baadhi ya Wafanyakazi wa Klabu hiyo wameeleza juu ya wasiwasi wao kuhusu Wakala huyo ambaye ni Mgeni wa kawaida tu ambaye nyuma ya Pazia amekuwa na ushawishi mkubwa kwenye uhamisho wa w wachezaji kusajiliwa na Inaelezwa yeye ndio aliopendekeza Majina ya Rasmus Højlund pamoja na kiungo Sofyan Amrabat kusajiliwa,