Atawasaidia sana huyu dogo. Anacheza namba zoteGabriele Biancheri has penned his first professional contract with Manchester United
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2754005
unajua sajili za wachezaji pale manchester united zinaendeshwaje?Halafu Kuna mtu anawatupia lawama Grazzer family
The Manchester United recruitment team don’t think Sofyan Amrabat will succeed in England. He is an Erik ten Hag target.
[@Muppetiers]
licha ya kwamba msimu huu wamefanya vizuri kiupande fulani kitaarifa lakini bado haiondoi ukweli wa kwamba muppetiers si chanzo cha kuaminika kwa taarifa za manchester united.Halafu Kuna mtu anawatupia lawama Grazzer family
The Manchester United recruitment team don’t think Sofyan Amrabat will succeed in England. He is an Erik ten Hag target.
[@Muppetiers]
hii ni vita ya mawakala waliokosa ulaji dhidi ya bwana aliyetengeneza ulaji.Grazzer family hawatakubali waonekane wao Ni wabaya totally
7hag kafungua kampuni za udalali ndani ya manjesta anamtaka mchezaji kumbe kashamuunganisha na kampuni zake ,mwisho Grazzer wanapigwa pesa ndefu
Sasa wameshtuka
Masingeli huyu ni mropokaji inatakiwa tumzoee tu humu, ukweli wote kuhusu Glazers na bodi ya United wanavyoidhoofisha timu anaujua, ila yeye kwa makusudi kabisa kaamua tu kutumia nguvu zote kumsilibia Baba Ubaya.hii ni vita ya mawakala waliokosa ulaji dhidi ya bwana aliyetengeneza ulaji.
jorge mendez na wenzake hawajala hela za manchester united kwa muda wa miaka miwili.
mfano kwenye dili la ronaldo unadhani jorge mendez hakula cha juu?
Kama kuna uozo umejaa ndani ya klabu wacha taarifa zivuje tu hamna jinsi.ule ugonjwa wa kuvuja taarifa za ndani ya klabu umeanza kujirudia tena, mara nyingi ugonjwa ule huondoka na kichwa cha mtu
Hapana, hili pambano limeshamkalia vibaya kipara.Masingeli huyu ni mropokaji inatakiwa tumzoee tu humu, ukweli wote kuhusu Glazers na bodi ya United wanavyoidhoofisha timu anaujua, ila yeye kwa makusudi kabisa kaamua tu kutumia nguvu zote kumsilibia Baba Ubaya.
Sahihi kabisa uliyoyasemalicha ya kwamba msimu huu wamefanya vizuri kiupande fulani kitaarifa lakini bado haiondoi ukweli wa kwamba muppetiers si chanzo cha kuaminika kwa taarifa za manchester united.
juzi niliweka taarifa kutoka chanzo hicho cha muppetiers kwa njia ya utani utani (wengi hawakunielewa)
mupptiers wanasema hivi:
- masoun mount na hojlund ndio wachezaji pekee waliosajiliwa msimu huu kwa mapendekezo ya recruitment team (kwa maana hapa erik hakuwa na nguvu kubwa)
- onana na amrabat (mkopo) ni wachezaji waliosajiliwa kwa mkono wa erik ten hag
- muppetiers wakaenda mbele .....wanasema casemiro haonekani kuwa ni mchezaji aliye kwenye mipango ya muda mrefu wa klabu na ulikuwa usajili wa dharura......recruitment team kwa sasa inatafuta mbadala wake na mchezaji anayelengwa ni palacios wa bayer leverkusen (injury prone)
usajili wa manchester united
baadae wanafanya decisions, usajili pale man utd unafanywa hivi kwa mujibu wa waandishi wa habari niliosoma taarifa zao kwa nyakati tofauti.
- kocha anakuwa na target zake
- recruitment team wanakuwa na target zao
mfano:
tatizo la manchester united bado hawana IDENTITY.
- mourinho hakumtaka fred
- huwezi kuniambia usajili wa matic ni wa recuitment team, bali ni usajili wa mourinho na alipoondoka matic hakuwa na career nzuri (mwisho matic kamfuata mourinho)
tunachezaje, tunatakaje, tunamhitaji nani kwa lengo gani........
usishangae anaondoka ten hag, baadae unaletewa conte
Flano ,hujaona Hadi mtoto wa 7egg Ni wakalaMasingeli huyu ni mropokaji inatakiwa tumzoee tu humu, ukweli wote kuhusu Glazers na bodi ya United wanavyoidhoofisha timu anaujua, ila yeye kwa makusudi kabisa kaamua tu kutumia nguvu zote kumsilibia Baba Ubaya. View attachment 2754272
hapo ndio unajiuliza ni ipi kazi ya DOFSahihi kabisa uliyoyasema
Unawatetea sana Glazers. Angalia huyu ndiyo CEO wa Manchester United na elimu yake ndiyo hii (picha chini).Halafu Kuna mtu anawatupia lawama Grazzer family
The Manchester United recruitment team don’t think Sofyan Amrabat will succeed in England. He is an Erik ten Hag target.
[@Muppetiers]
Kwa huku bongo 7 hag ni dalali Kama madalali wengineNILIONGEA HAYA KIPINDI CHA NYUMA ,HATA USAJILI WA HOJLUND KWA €85m GRAZZER WAMETAPELIWA ,
Kuna mkono wa wakala wa Ten hag , Ni Kama Ten hag ameamua kufanya biashara ndani ya man utd ....LAWAMA wanapewa Grazzer Family yeye ametulia ,Grazzer family hawawezi kukubali mzigo wa LAWAMA
Daily Mail wanazidi kuripoti wanasema
Kampuni ya Sport Kees Vos imekuwa chombo muhimu katika mazungumzo ya usajili wa wachezaji na mauzo kwa #mufc , pamoja na kutoa ushauri usio rasmi kuhusu soko la uhamisho - Nigel mtoto wa Ten Hag pia anafanya kazi katika kampuni hiyo ya uwakala kama mchambuzi.
[@MattHughesDM]
We jamaa utakuwa mgeni kwenye football business.KOCHA KAAMUA KUFANYA BIASHARA
Tried to sign Gakpo, same agent as Ten Hag
Signed Hojlund, same agent as Ten Hag
Signed Amrabat, same agent as Ten Hag
Sold Zidane Iqbal, same agent as Ten Hag (also joined Utrecht, a club Ten Hag used to manage)
Nadhani hamis77 anaongelea conflict of interest, hata kama hupati commission au so-called 10% , maamuuzi yako yanaweza kuathiliwa kwa namna moja au nyingine.We jamaa utakuwa mgeni kwenye football business.
Jaribu kufanya research baada ya kusoma vi-article uchwara. Hiyo agency inawakilisha zaidi ya athletes & managers 500, Guardiola akiwa mmoja wao. Mtoto wa EtH ni Analyst kwenye hiyohiyo agency.
Wachezaji waliowakilishwa na hiyo agency kwenye usajili wa United ni Højlund (permanent) na Amrabat (loan).
Na hiyo habari inadhihirisha madhaifu ya United kwenye scouting, mpaka kocha anatumia agency yake kufanya deals. Ila bado hiyo habari ni upuuzi, kila journalist anaiongelea United ili kupata clicks.
Matt Hughes na hao Daily Mail ni wangese tu. Yani EtH afanye upigaji isijulikane? Agency inachukua 10% fee, walete proofs sasa EtH anapokea % ngapi kwenye kila usajili.