Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama hukumsapoti Ole ila unamsapoti Eriki na wakati wote mwisho wa msimu wanashika nafasi zile zile hapo tusemeje?

Ole hajamzalisha Sancho.

Kama kocha wenu alikua na Luke Shaw peke yake kwanini hakusajili back up?

Antony ana magoli mangapi msimu ulioisha?

Onana katika hizi mechi 5 klashafungwa magoli mangapi?

Erik anacheza game plan ipi? Kwa wachezaji alionaoj hawezi badilisha game plan ya sasa?

Kwanini aliamua kusajili wachezaji wakiwa majeruhi? Kulikua hakuna mbadala?

Amrabat ataleta nini kipya ambacho Casemiro na Scot hawawezi?

Kwanini ilitoka 70M kwaajili ya kiungo mwenye miaka 30?

Weghorst alikuja kwa kazi gani? Sabitzer?
 
Kocha wako anafukuzwa kazi before December
 
Mamaee hamna timu palee.. Forward hakunaaa.. Beki ndo magwayaaaa.. Katikati vitoto vinarukarukaaa tu ushuziii mtupuuu bora hata Jezi sikununua
 
Mamaee hamna timu palee.. Forward hakunaaa.. Beki ndo magwayaaaa.. Katikati vitoto vinarukarukaaa tu ushuziii mtupuuu bora hata Jezi sikununua

Manjesta Ni kikundi cha singeli tu.

VAR inachowafanya sasa


 
Di zerbi Masterclass

Lewis Dunk on Roberto De Zerbi’s play style:

β€œWe rehearse it every day. Now I know every position on the pitch and where someone should be, the time they should move and what angles they should give. We practice it that much we know every scenario.

If someone presses from this angle or that angle, we know where the ball should go to reach past the pressure. We do lots and lots of hours on it. But if I’m being honest, the first couple of weeks were baffling.”
 
Sancho anasema 7 hag ana double standard

Cr7 alikuwa anafunga magoli akatimuliwa eti hawezi ku press Wala kuunganisha Timu

Does Rashford press? No.
Does Rashford track back? No.
Does Rashford help in the build-up? No.
Is Rashford the highest earner at the club? YES.

You all demanded pressing and tracking back from a 37-year-old player, but now you're not demanding it from a 26-year-old player.
 
hivi huko ku PRESS na Track Back ndio nini??
 
Huwa tunakutana wachambuzi nguli watupu kina Alex Goldberg, N.k
Yani hapo hakuna mzembe kama Jemedari Saidi hapo ni Wabobezi tu kuna huyo Mnazi wenu wa Arsenal kutoka Kenya Welbeast jamaa ana Sarcasm za hatari unaweza kama mshabiki wa Manure unaweza kimbia Space

Jana nilisahau mpaka kuka kwa kufuatilia hiyo Space.
 
Wakati Guardiola anawanao akina Robben, Ribbery na the likes of Philip Lahm , Eliki 7+3Hag alikuwa anafundisha timu ya under 10 ya Bayern πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

We mpaka hapo haustuki tuuuu.
 
Come to mention It, Philip Lahm was inverted fullback wakati Guardiola yupo Munich?

Before hii neno halijaanza kuimbwa sana. Wachambuzi nguli, nikumbusheni kidogo.
 
Hii timu kocha kafeli, inaenda mbele hatua tano then inarud nyuma hatua kumi

Nasema ETH hata aletewe kina Mbape, Pavard bado atafeli tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…