Wamrudishe de gea aje aokoe jahazi hana timu mwambaHakuna Ronaldo wala Maguire.
Basi lawama zitarudi kwa Glazzers
Uwezo wake ndio umeishia hapo, hana plan B, hajui hata afanye nini,Hii presha yakufungwa 10hag asipoweza kui handle basi ndani ya mechi 10 zijazo zitaamua hatima/fate ya kibarua chake ndani ya team... Afanye ile miracle ya last season worst start then tuka click upon gameweeks goin 7-10 gm/w tuko top 6
Al-Hadidy 😂Kuna kale kachambuzi koko bingwa wa kutukana matusi mnaposema ukweli sijui kamefia wapi,
Sometimes tunatakiwa kuweka unazi pembeni na kuzungumzia uhalisia, ten hag hawezi kutufikisha popote, mara 100 David Moyes (najua hapa hamuwezi kukubali but time will tell)
Matusi mliyokua mnanitukana kipindi cha pre season yaleteni tena, ten hag asipofukuzwa tutakua na bahati sana kumaliza ndani ya kumi bora.
Kituo kinacho fuata ni kufirimbwa na bayern
Muongeze brighton/westham kwenye hio top 5 spotMwaka huu ni top 5
😂😂😂😂😂😂daah umenichekesha sana mwambaHaiwezekani uwe na Kocha ana Kichwa kama Jiwe la Round about ya pale Msamvu Morogoro halafu ushinde Kombe
Ole gunar ana uwezo mkubwa kuliko 7hagHizi nyumbu bora ole
Katakua kamezimia huko kaliko, kalikuja kasi kila habari kanaijua
Usikajibu hako kapumbavu, kanachoshindwa kuelewa nikwamba tatizo lipo kwa wamiliki na hata ukisema ukaelezee ni kwanin? Wamiliki wanaplay part kubwa kuimaliza hii club still hakatoweza kuelewa chochote.Tatizo si kocha...
Hawez kurudia ile miracle ,tulisema kwa uchezaji ule hauna maisha marefuHii presha yakufungwa 10hag asipoweza kui handle basi ndani ya mechi 10 zijazo zitaamua hatima/fate ya kibarua chake ndani ya team... Afanye ile miracle ya last season worst start then tuka click upon gameweeks goin 7-10 gm/w tuko top 6
Walikuandama Sana mkuu, ukweli mchungu ETH hata kwa Ole anazidiwaKuna kale kachambuzi koko bingwa wa kutukana matusi mnaposema ukweli sijui kamefia wapi,