Ukweli ni kuwa hii timu yetu ilikuwaga mbovu sana na hasa mabeki na viungo na De gea alitufichia sana hayo madhaifu kwa uwezo wake binafsi, Onana sio kipa mbaya ila kwa beki hizi cha moto tutakiona maana hata aina ya mpira anaocheza Onana beki na viungo hawahuwezi so hakunq chemist yeyote.

Kiufupi timu inaungwa ungwa na super glue... Unaleta kipa la possession football kwenye squad ya counter attack football lazima wa mrambe maana kikawaida onana sio shot stopper mzuri hio hela ni tungeenda kwa maigan ya ac Milan au kwa diogo costa wa benfica
At that time kulikuwa na raya aliyetoka Brentford who was even more cheap
Kweli man utd tumekuwa timu ya ajabu sana kutoka kwenye forward ya End Cole, Tedy, Ole guna, Folan, Tevez, Rooney , Ronaldo eti leo tuna Martial na Rashford yaani hawajui hata wanatafuta nini kwenye soka ukiwatizama hata sura zao.