[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] et CaceidoMchezaji yeyote akiwa Brighton ya sasa ni tofauti.
Hata akienda Maguire, nina uhakika mtaenda kumnunua tena kwa £100 mil.[emoji23]
Kama unabisha kamuangalia Caicedo wa Chelsea! [emoji23]
Brighton Leo wamewawekea wachezaji wa kawaida Sana sababu wana Europa alhamisVAR itafanya mashabiki tuache kushangilia magoal sasa maana mkifunga goal unakuwa na wenge wenge tu.
Nilitaka kushangaa Rashidi atoe assist ndani ya box kumbe alijua mpira tayari umeshatoka nje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukisia pro Max gundu ndio hili Sasa
[emoji1][emoji1][emoji1]
Goal rejected as usual
Flano njoo Arsenal rafiki anguNilitaka kushangaa Rashidi atoe assist ndani ya box kumbe alijua mpira tayari umeshatoka nje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poor Rashidi
HAWA mkitulia mnawafunga kabisa Hawa....muongeze umakini tu pale mbeleNilitaka kushangaa Rashidi atoe assist ndani ya box kumbe alijua mpira tayari umeshatoka nje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poor Rashidi
Hahaha!Onana kwenye shot stopping na reflexes hawezi kumfikia De Gea miaka 100.
Onana kwenye timu yenye defence na midfield kama United ipo siku mtamkumbuka De Gea.
Mimi sikubaliani na De Gea kuwa #1 msimu ujao ila Onana siyo kipa sahihi wa kucheza United kwasasa.
Hii kauli taratibu inaanza kueleweka presha ni nzito sana kwa onana...tutam miss degea[emoji120]Tafuteni kipa watani zangu
Huo ndio ukweli, Onana anafaa kwa based possession teams tuHahaha!