Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Swali

Ni waholanzi?

Wamewahi kucheza Erevedise ?

Waliwahi fanya kazi na 7hag au kutakiwa kipindi Cha nyuma?

Kama hawana hizo sifa hawawezi kutakiwa manjesta
Tatizo ni Glazers. January baada ya Ronaldo kuondoka EtH alimtaka Gakpo akaambiwa anaweza kusajili kwa mkopo tu, akamtaka Joao Felix ikashindikana kwasababu ya ada ya mkopo, Glazers wakagoma kutoa pesa ikabidi amchukue Weghorst. Msimu huu akataka RCB mpya ikaonekana kama atamsajili Min-Jae, Kim akaenda Bayern, akamtaka Pavard Glazers wakasema hakuna pesa mpaka auze wachezaji, Maguire akagoma kuondoka ikabidi EtH amsajili Evans.

Sasa hivi anamtaka El Ghazi kwasababu hana option nyingine na msimu bado mrefu sana na dirisha la usajili limefungwa.

Hawa wachezaji wengi wa mkopo na free agents hawana viwango vya kucheza United ila uongozi wa timu unamfelisha kocha maana hana namna.
 
Hii timu dah

Chukua hii nakupa Mimi Kama mchambuzi nguli

Manjesta walipiga jumla ya pass 213 first half

Pass 199 pekee walizipiga kwenye eneo Lao la backline

Pass 8 pekee walizipiga kwenye Midfield ya Arsenal kwa dakika 45

Pass 5 pekee ndio walifanikiwa kupiga kwenye final third ya Arsenal

Mechi nzima walipiga 12% ya pass zote kwenye final third ya Arsenal,hii Ni record ya chini kabisa toka 2006/2007 kwa mujibu wa OPTA
20230911_174339.jpg
 
Tatizo ni Glazers. January baada ya Ronaldo kuondoka EtH alimtaka Gakpo akaambiwa anaweza kusajili kwa mkopo tu, akamtaka Joao Felix ikashindikana kwasababu ya ada ya mkopo, Glazers wakagoma kutoa pesa ikabidi amchukue Weghorst. Msimu huu akataka RCB mpya ikaonekana kama atamsajili Min-Jae, Kim akaenda Bayern, akamtaka Pavard Glazers wakasema hakuna pesa mpaka auze wachezaji, Maguire akagoma kuondoka ikabidi EtH amsajili Evans.

Sasa hivi anamtaka El Ghazi kwasababu hana option nyingine na msimu bado mrefu sana na dirisha la usajili limefungwa.

Hawa wachezaji wengi wa mkopo na free agents hawana viwango vya kucheza United ila uongozi wa timu unamfelisha kocha maana hana namna.
Kocha mbovu tuu,
 
MUFC not interested in Anwar El Ghazi, after proposal by agents.

Right-wing options affected by Antony’s withdrawal + Sancho’s situation, but Pellistri was kept with a view to featuring, plus Garnacho could play there. Fernandes/Mount too, if necessary.
 
BREAKING: Bruno Fernandes wins the MOTM award.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230912_140245_191.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The extension of Facundo Pellistri's contract is now one of #mufc's priorities.

[Fabrizio Romano]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230912_140253_957.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good Afternoon Reds .

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230912_140317_160.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bruno vs Luxembourg

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230912_140343_019.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bruno Fernandes' last 10 matches with Portugal (World Cup included):

• 6 goals
• 8 assists

Fernandez's last 10 matches in Portugal
6 goals, 8 assists

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230912_140352_896.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Erik ten Hag wants Benfica centre-back António Silva. Ten Hag believes Silva would add quality competition and fits perfectly into his plans.

[BRITmaniaRadio]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230912_140448_480.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anwar El Ghazi stats

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230912_140510_529.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
XI Players ten Hag has signed

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230912_140618_140.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#MUFC are not interested in Anwar El Ghazi after a proposal was made by agents. Facundo Pellistri was kept at the club with a view to feature him in fixtures.

#LaurieWhitwell
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230912_140633_213.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This angle of Bruno Fernandes’ Trivela assist: 𝗣𝗘𝗥𝗙𝗘𝗖𝗧𝗜𝗢𝗡

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom