Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Admin wa Getafe huko Twitter / X anapiga tu kwenye mshono. Feminists hawaamini wanachokiona.
Kapata content,halafu anawapiga penyewe kabisa anarusha clip ,Mason anachambua anapiga miwa
 
Hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.....
Magwaya le kepteein.
 


Pamoja na Masihala tuliyonayo kwenye EPL siwezi kuja kushabikia au kubanter mchezaji kuwa alleged with rape case or assault to their women. I really feel sorry for these guys kwa sababu mara nyingi wanakua targeted na wanawake ili wapate hela za fidia.
 
Hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.....
Magwaya le kepteein.


Nilikaa na huyo jamaa akasema Hawa jamaa wanapiga Sana msako hata hatupumui,na hapo anaingia magwaya ,kelele za kutosha

Nikamwambia twende nje ,kidogo hatujatulia nasikia kelele,nikajua magwaya kafanya yake
 
Hawa wazee mnaowaleta watakuja kufia uwanjani

Casemiro has been dribbled past (12) more than any other player in the Premier League this season

Hzi zitaandikwa sana, sio kwmba wachezaji wa team zengine hawakosei ila tu it’s Manchester United kama unataka ku trend zungumzia hii team
Sikuizi everything is about Manchester united
Bila man utd hakuna EPL
 


Nilikaa na huyo jamaa akasema Hawa jamaa wanapiga Sana msako hata hatupumui,na hapo anaingia magwaya ,kelele za kutosha

Nikamwambia twende nje ,kidogo hatujatulia nasikia kelele,nikajua magwaya kafanya yake
Namfurahiaje mjomba Magwaya, yaani confo zero ila kwa Southgate humwambii kitu. Sijui ni shemejiye au mwanaupinde mwenzie?
 
Hii Timu tulipokuwa tunawaambia Ferguson alikuwa akibebwa na Marefa makakazenu walitupinga! Ona sasa tokea astaafu Ferguson na Howard Webb imekuwa ni Mateso na maumivu makali kwenu.View attachment 2738806View attachment 2738807

Allegation za kipumbavu sana. Ferguson hakubebwa na marefu. He was elite coach, kuwachukua manu ilipukuwa ina sua sua, uwezo wa kubadili wachezaj wasio hawakuwa na jina mpaka wakajulukana
Kwa record yake huwe ipata eti kwa kubebwa hakuna kitu kama hiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…