Kumar Singh
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 1,027
- 2,316
Ajabu wewe mwenye touches nyingi unazidiwa nafasi hadi goal difference na wenye touches chache kama City, Liverpool na Westham.Hii timu inashika nafasi ya 3 mkiani kwa kuingia mara chache kwenye box la mpinzani
Kuna watu wanakwambia tupo vzr
View attachment 2738747
Hapa kuna mtu sijui sasa rashford na anthony kama wataweza kwenda nae sambamba wakiacha ubinafsi hili ni tatizo pale mbele ni moto haswaa kuna beki jana kaacha mpira kamdaka mwili mzima kwenye 18
Rasmus Højlund
Vipi kuhusu manjestaAjabu wewe mwenye touches nyingi unazidiwa nafasi hadi goal difference na wenye touches chache kama City, Liverpool na Westham.
Hii inamaanisha nini? Maana yake bado hata wewe unajitafuta ukizembea utaikosa top four msimu huu watu wanauwasha kweli kweli kulinganisha na msimu uliopita.View attachment 2739039
Huu ushauri wako naanza kuuelewaKwenye goli nane ambapo Onana ameruhusu. Kipa aliye serious goli sita kati ya nane alikuwa anazuia. Tafuteni kipa wa kueleweka.
Mnaenda kucheza na Bayern. Kule Bundesliga Harry kane anaongoza kwa Short on target. Yajayo yanafurahisha.
Tafuteni kipa wa kueleweka
Endeleeni kudanganyana tu mkija kushtuka mmeng'ang'aniwa nafasi ya 12beki mwenyewe ni Magalasa, alikua anapelekewa moto mpaka anakaba kwa mikono.
Tena hii ilikua penalt kabisa lakini kwa masikitiko makubwa refa na chumba cha VAR wote jana waliibetia Arsenyo hawakua tayari kuchana mikeka yao. View attachment 2739036
Kajinga sana ka rashfordRasmus alimaind kwenye hii move. Baada ya Rashid kupiga ule mpira ukaishia kwa mabeki akarusha mikono juu kwa hasira,yaan ingekuwa inawezekana kuingia ndani ya Tv basi jana ningeingia nkampige mawe yule umbwa Rashid
Grazzer Tena ?Sina Hami na tim yangu the glazers wamrniudhi
Acha wengeMasebene kashatimuliwa timu ya taifa kwa kupiga mwanamke
Soon atatimuliwa manjesta ,kwangu itakuwa huzuni Sana