Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,169
- 18,864
Ila ndio football lakin the one with quality ata decided the match ... Yani tunatoa Martinez na lindelof kwa john evans na Maguire mpaka hapo mashabik wa man utd tulijua mshashinda
Sababu hatuna quality bench compare na wao
Sababu za kufungwa ni upangiliaje mchezo wa kocha martial mzito sana...sub ikitokea ya Antony unajua uwanja utainama maana jamaa anajua kurudi kufanya ball carrier kupokonya mipira kupeleka mbele...kuhusu center back ndio itilafu Martinez hawez cheza mechi nzima kawa pancha sana + varane pia hi duo sasa hivi ni hospital mates
Ety kosa la glazers ni lipi, unaleta utani kwa mambo yaliyo serious, kwa akili yako unafikiri degea Ana kipi! Cha kumzidi onana au unafikiri mpira wa sasa utahitaji makipa walio shot stoper tu.Kosa la glazer ni lipi?
Wamempa pesa huyo jasusi kaenda kusajili wahuni tu.
Onana ana kipi cha kumzidi degea?View attachment 2738231
Mkuu mimi hili suala la VAR linanichanganya kila siku. Hawa waamuzi wa VAR wakiwa wanarudia utaona kabisa mstari sio perpendicular ila kama unatengeneza angle aidha ndogo kuliko nyuzi 90 au kubwa kuliko nyuzi 90 halafu wanahitimisha kuwa ni offside au la. Mfano mzuri ni offside ya goli la Garnacho,mstari haukuwa nyuzi 90 bali ulilala ndio maana maamuzi yalikuja vile refa alivyotaka.
Hata hii picha yako mkuu asahd mstari haukunyooka ila umelala kidogo kumfuata beki wa mwisho wa arsenal,labda kama mstari wa pembeni haiko sawa sana.
Hii nafasi ilikua goli kabisa jamaa huwa simkubali sababu ya uselfish na utoto wake.Hapa rashford sijui alichokuwa ana waza rooney na ronaldo ktk counter kama hizi huponi walikuwa wakiwaza magoli kwa ajili ya timu hapa rashford alijiwazia yy tuView attachment 2738569
Laana ya kuwakumbatia wachezaji wasiokupa unachohitaji kima Maguire, Evans, Martial, Erikson, na wengine takataka unataka ujilinganishe na timu zenye mipangoHii timu ina laana
unaangaliaga mechi za Manchester au?? Sancho amechezeshwa wing zote mpk false 9 na makocha watatu na hakuna alichokifanyaHapewi game time huo ndio ukweli, anachezeshwa out of position, Sancho ni elite RW
Msemaji wa maisha ya watuunaangaliaga mechi za Manchester au?? Sancho amechezeshwa wing zote mpk false 9 na makocha watatu na hakuna alichokifanya
kipindi cha Solksjær alikuwa anecheza RW zaidi na hakuna alichofanya zaidi ya kurukaruka tu
Rasmus alimaind kwenye hii move. Baada ya Rashid kupiga ule mpira ukaishia kwa mabeki akarusha mikono juu kwa hasira,yaan ingekuwa inawezekana kuingia ndani ya Tv basi jana ningeingia nkampige mawe yule umbwa RashidHii nafasi ilikua goli kabisa jamaa huwa simkubali sababu ya uselfish na utoto wake.
wewe ndo hujui kuitumia umekutana habari fake umekimbilia kutuletea hapaUna smartphone ila hujui kuitumia
Sina msaada na wewe