Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe ndio 'mjinga wa mwisho' yaani unamlaumu Anthony!! Anthony anashambulia ana spidi kubwa na anarudi haraka kumsaidia Wan Bissaka mpaka Maetineli na Saka wakapotea kabisa. Kwa hiyo unamsifu Martial sio...rubbish.
Tabia za kipumbavu hizi,

Mwenzio Katoa maoni ,unamjibu kwa lugha chafu

Haya Leta msimamo

Halafu aliyekwambia Saka na Nell walipoteana Nani

Unajua Wanabisaka Leo kafanya tackling ngapi na kusababisha Kona ngapi
 
Acha utoto jaribu kujiheshimu, wala sina hasira yeyote bali ndio mpira ulivyo maana huwezi kushinda kila mechi.
Kuna tusi nimetoa ?

Hamtaki kutaniwa kabisa ,

Kaangalie kejeli na kashfa wenzako walizomwaga jukwaan Kwetu tulivyotoa sare na Fulham,


Kwahiyo na nyie vumilieni


Tena mm nawapiga banter za kistaarabu
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini Sancho anafeli sababu Hana uwezo

Mchezaji anachezeshwa out of position

Hapewi game time ,akifanya vzr anakuwa wakwanza kupigwa sub

Bora leo kalimwaga
 
wew mwenyewe bado una Timu mbovu ni vile umemkuta united ni mbovu zaidi utaishia kugombea Top four tu kama unataka ubigwa una safari ndefu sana

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Wahovyo sana asenane..dakika 80 wamecheza kwenye lango la United na wameshindwa kufunga magoli.
The same last week wakiwa na Fulham walicheza kwenye goli ya Fulham walio pungufu na hawakupata kitu.
Mkitaka mpate angalao top 4 tafuteni forward muuaji kama Hujland.
 

Ukweli ni kwamba man u mmecheza vizuri kuliko arsenal hasa kipindi Cha kwanza
Man u wakiwa na mpira kwenye kushambulia mlikua hatari kuliko arsenal

Kuna muda man u mlikua mnacheza kiume, Arsenal walikuwa wanacheza kivulana

Yule hojlund ambae hamisi anamkataa ni mzuri na atawasaidia Sana Sana Sana
Rashford akiwa na consistency ni mchezaji mzuri
Onana anahitaji mabeki wakufanya nae zile one-two-one-two

Tafuteni mbadala wa Eriksen na casimiro mapema

Garnacho ni kinda mwenye potential kubwa Sana

Martial sio mchezaji wa kuvaa jez ya Manchester United ata watu wakibaki 11 dunia. Inabidi akose namba

Martinez bado hajapata partner wake pale nyuma, namaanisha varane, Maguire, lindeloaf, Evans sio wa kuwategemea

Bisaka ni mzuri lakini kwa ukumbwa wa man u, inabidi muingie sokoni

Kadri siku zinavyokwenda man u inapunguza ubora wa Bruno
Ulishawai fikiria Bruno akiichezea timu Kama man city?

Big u kwa dalot, amejua kutufichia star boy SAKA

All in all
Man u changamoto zenu ni ndogo kulinganisha Chelsea

Man u inahitaji muunganikano tu wa wachezaji, ubaya ni kuwa hao wachezaji ambao wengi wao ni tegemezi umri imeenda

mchezo ulikua mzuri, Hadi dakika ya 80 ypyote alikua anaweza kutapika points tatu, bahati ilikua upande wa arsenal. Yeah, that's a football
 
Kabisa yani wengi hawafai kuvaa ile badge basi tu.
 
Hojlund sijamkataa ila takwimu zake zinaonesha mwanga

Kumbuka Anthony masebene alianza kwa kufunga na ikasemwa humu Ni new Arjen Rooben
 
Huu ujinga Sancho ndio kaukataa hadharani

saying Sancho hasn’t been good enough but he literally starts Antony in every match
 
Hojlund sijamkataa ila takwimu zake zinaonesha mwanga

Kumbuka Anthony masebene alianza kwa kufunga na ikasemwa humu Ni new Arjen Rooben
Okey
But so far ten hag anaweza akafanya vizuri kuliko pochetino ambae unamkubali, kila siku unawaambia Kenge wampe muda

Nilichokiona kwa ten hag ni aina ya makocha wazuri kutafuta matokeo
Ten hag ana u-jose Mourinho flani hivi kwa mbali
 
kongole mkorea hapa umeongea kama shabiki wa kweli wa soka sio ndugu yako Masingeli yeye ni kukandia mwanzo mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…