RVP amekuwa mzigo!!!!amebaki maneno tu anatakiwa akae nje. leo wacheze watu wa juhudi tu akina VALENCIA,WELBECK,YOUNG hawa wanajituma sana hata kama hawana talent kivile
Enzi ya Sir Alex Ferguson ilikuwa vigumu penalty kupatikana uwanjani hapo lakini mechi ya hivi karibuni (Liverpool) tumeona penalties kibao, ama kweli mabadiliko hayo lazima wayakubali wapende wasipende.

Starting XI: De Gea; Rafael, Jones, Ferdinand, Evra; Valencia, Carrick, Giggs, Welbeck; Rooney, van Persie.
Subs: Lindegaard, Fellaini, Fletcher, Januzaj, Kagawa, Young, Hernandez
Starting XI: De Gea; Rafael, Jones, Ferdinand, Evra; Valencia, Carrick, Giggs, Welbeck; Rooney, van Persie.
Subs: Lindegaard, Fellaini, Fletcher, Januzaj, Kagawa, Young, Hernandez
Mata nje? ??Starting XI: De Gea; Rafael, Jones, Ferdinand, Evra; Valencia, Carrick, Giggs, Welbeck; Rooney, van Persie.
Subs: Lindegaard, Fellaini, Fletcher, Januzaj, Kagawa, Young, Hernandez
Usikimbie Jukwaa mwisho wa game tuleo lazima tuwapige hawa hili kombe ni letu.kwa kua kucheza mwakani uefa kupitia zile top four ni ngumu sisi tunapitia huku.tutaingia kama bingwa mtetezi.
Mata nje? ??
ingawa hapa kwa Giggs kunaonekana kuna shida kidogo, itabidi moyes awe mwepesi kwenye sub. giggs akizembea kidogo amtoe faster aingie fellaini,sio anasubiri mpaka dakika ya 82.
haka katim hakajawahi kuifunga man u katika ardhi ya england toka kazaliwe. yaani mara zote 11 kamekuja england hakajawahi kudroo
Starting XI: De Gea; Rafael, Jones, Ferdinand , Evra; Valencia, Carrick, Giggs, Welbeck; Rooney, van Persie.
Subs: Lindegaard, Fellaini, Fletcher, Januzaj, Kagawa, Young, Hernandez
hivi
1-mechi zidi ya Arsenal 8-2 ile penati uikumbuki,
2-mechi zidi ya Blackburn Rover 3-2 penati alisabisha Berbatov,