Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa hayo ni maneno yangu au ya Rio?


Halafu Kwan uongo mount hamjapigwa ?
Huyu mount alikuwa target ya Liverpool before hatujamchukua... Unataka kusema Klopp nae hana talent Id... Mpaka kuwa target kuna kitu kimeonekana kwake... Hata Kai si alikuwa anatakiwa na Bayern kuna kitu anacho.... Ni swala la Muda kocha ndo anayejua mkuu
 
Anaweza kuwa mchezaji mzuri ila jiulize 7hag alimsajili kwa malengo maalumu au kubahatisha

Tunachozungumzia Ni uwezo mdogo wa 7hag kwenye Talent ID

Yaan anasajili mchezaji anakuja ana flop

Sababu anabahatisha Kama atafit au lah


Ndio Maana katika £450m alizotumia utakuja kushangaa Ni mchezaji mmoja au wawili wenye afadhali

Hata aliowakuta hapo manjesta wanamshinda kuwa develop
 
Anatoa Baba ako hiyo commission?

Acha kujipa umuhimu kwenye yasiyokuhusu
 
ni mchezaji wa kawaida sana. Msiwe na imani nae kupitiliza . Ukiweka mctomny na amrabat namfata mctomny
Mchezaji alifanya vzr mech 3 za world cup ,

Big teams zilikuwa zinatafuta DM , wakapambania signing za Caicedo, Rice ,Palhinha ,

Hawakumuona huyo Amrabat kwa £21m?

He is average player
 
Mchezaji alifanya vzr mech 3 za world cup ,

Big teams zilikuwa zinatafuta DM , wakapambania signing za Caicedo, Rice ,Palhinha ,

Hawakumuona huyo Amrabat kwa £21m?

He is average player
Watakuja kumkataa .. waache wajifanye wanamjua sana
 
Anatoa Baba ako hiyo commission?

Acha kujipa umuhimu kwenye yasiyokuhusu
Usiwe na hasira kaa kwa kutulia

Huu mchezo hauhitaji hasira

Tuli draw na Fulham mkaja jukwaan Kwetu kupiga mboyoyo wakati mna timu mbovu


Narudia Tena omben Sana Jumapili tusishinde, mlinikera Sana kuja jukwaan kwetu wakati mna timu mbovu Sana

Nitaweka kambi wiki 2 humu ,na nitakuja na kikosi kazi, had international break ikate

 
Watakuja kumkataa .. waache wajifanye wanamjua sana
Wapo desperate na sajili ,wanasahau 7hag anabahatisha tu ,Ni juzi alikuwa anamtaka Kukubela , Chelsea wamewakazia kwenye loan fee ,

Huyu Amrabat yupo fiorentina miaka yote ,walishajiuliza kwann kajulikania world cup kwa mechi 3
 
And they will lose Sunday

Manyumbu have struggled on the road against their main rivals in recent times.

They have won none and lost eight of the last 12 away games against the other teams in the Big Six and Newcastle.
 
Watu wanawafata kina Palinha... nyie mnawakimbilia wala urojo. Sawa hatutaki visingizio
 
Wapo desperate na sajili ,wanasahau 7hag anabahatisha tu ,Ni juzi alikuwa anamtaka Kukubela , Chelsea wamewakazia kwenye loan fee ,

Huyu Amrabat yupo fiorentina miaka yote ,walishajiuliza kwann kajulikania world cup kwa mechi 3
Mkuu kajulikania world cup au wewe na wenzio ndio mmemjulia world cup? Kuna tofauti kubwa sana hapo.
 
kuna muhuni fulani anashabikia real madrid anapatikana mitaa ya twitter,
anadai kufanya vibaya kwa manchester united ndio kunazidi kuifanya ligi ya Uingereza kuwa maarufu zaidi na zaidi.

ukienda kwenye mitandao ya kijamii utakuta jambo lolote linalohusu manchester united ndio linapewa muda zaidi wa kujadiliwa.

mechi dhidi ya spurs tulinyimwa penalty ya wazi lakini hakuna referee wa zamani wala mchambuzi aliyezungumzia sana swala lile.

cha ajabu mechi dhidi ya nottingham forest, baada ya tukio la penalty na red card tumeshuhudia wiki nzima yanajadiliwa matukio mawili hayo kuanzia talk sport, sky news, bbc, na tovuti nyengine za kijamii.

man utd wakisajili au kuhusishwa na mchezaji anatrends kwenye mitandao kuliko trending ya man city kubeba treble.

hii imekaaje?
Chief-Mkwawa
 
Naona mmefurah kumpata huyu mkata Kuni Sofy wa Babat[emoji23].

Anyway atawasaidia maana Mido ya Case imeanza onekana tia maji sana.
 
Mkuu kajulikania world cup au wewe na wenzio ndio mmemjulia world cup? Kuna tofauti kubwa sana hapo.
Wewe umemjulia wapi kabla ya world cup?

Tudanganye hapa

Amrabat had anafika miaka 26 kajulikana kwa performance ya world cup mech 3 tu

Ilishatokea kwa Davor Suker , na wengine wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…