Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Talent ndio nn maana unaongea hiki kitu muda sana? Au kuna namna ss hatuangalii mpira sawa na ww
Huenda mnaangalia matokeo

Humu humu mechi ya kwanza tu nilisema Anthony masebene mmepigwa ,

Leo nani anabisha Anthony hamjampigwa?


Mech ya manjesta vs Arsenal pale OT ,7hag anashinda 3-1 nilisema 7hag kwa mpira huu Ni kocha tapeli anayesubiria miujiza na form ya Rashford kuokota point

Soon mtaimba humu 7hag out

Mpira nimeanza kuuangalia miaka ya 90

Nyie mmepata fursa baada ya kuletewa majumba ya kubeti
 
Sawa mzee wa talent id
huna baya..unajua vipaji vyote ulaya... mchambuzi makini.... formation zote unazijua sky sports tu hawajakuona
Mjibun huyo shabiki Lia Lia wa manjesta

Juzi Ambangile alihoji uwezo wa 7hag kule Twitter alishambuliwa na mashabiki oya oya wa manjesta
 






Fabrizio Romano

@FabrizioRomano

Manchester United preparing formal bid for Sofyan Amrabat, always been top target #MUFC
NO loan proposal sent to Fiorentina, just informal talks. Fiorentina could be open to loan but with obligation to buy based on conditions. Sofyan, waiting for Man Utd since June.

 
artets kama wenga tu miaka kibao epl kabeba mara tatu tu
 
Arsenal tumechoka maneno sasa tunataka kombe either EPL au UCL.... winners celebrate, losers explain, nyie no losers yaani hamis77 Unaongea kama losers na msimu ukiisha huna kombe, nyie ni timu ya maneno mko top kwa mdomo.... last season ETH ndio kaingia united na match 2 za kwanza alifungwa lkn alipambana timu ikashika nafasi ya tatu nyuma yako wewe mdomo mdomo fc, bora utulie ETH ana profile kubwa kuliko huyo baba yenu arteta na atafanikiwa kabla ya hyo arteta wenu....uzuri ETH alipofika alisema wapinzani wake wakubwa ni liverpool na man city, yeye hawafikirii timu za vipind km arsenal.
Liverpool tayari tumemzidi mafanikio season ya kwanza, saiv mdg mdg tunamfata man city huko huko juu, hizo style of playing au talent ID mtabaki nazo nyie mdomo mdomo fc sisi ni possession na makombe km Atletico Madrid au madrid yenyew.
Nyie hatuwafukirii na msimu ukiisha tutakuwa na mafanikio kuliko nyie, mimi binafsi naamini last season sisi united tumefanikiwa kuliko arsenal yako, nyie mna kombe la nafasi ya pili, style of playing na talent ID....sisi tuna makombe halisi la carabao, na finalize wa FA CUP.
 
hamis77 kuhusu hela ya usajili tajiri ananunua jeans 50,000 lkn masikin ananunua Jean's 18,000. Tusipangiane matumizi.
Last season ETH na united kama team tumefanikiwa kuliko team yako braza... style of playing au talent ID sio mafanikio ni character tu, but makombe ndio mafanikio, so sisi last season ni bora kuliko nyie na msimu huu ntakuacha kila kitu, we're cooking silently
 
ETH alisema style of playing na mengne mengi anayajua yeye atayaingiza taratibu lkn team ikiwa inapata matokeo.
Na alisema msimu wa tatu tumdai kombe kubwa EPL au UCL na tunaamini 100% coz wapinzani wakubwa EPL tushashusha mmoja bado man city tu, arsenal sio kikwazo tunaamini, sasa nyie arteta kawaahidi nini??
 
7hag hawez kufanikiwa manjesta Ni kocha wakawaida Sana

7hag kiumri ni kamzidi hata Pep ,lakin anacheza mpira mbovu mara 100 mgunda


Alipewa €250m awaletee Carabao ?
 
Ayaingize taratibu wapi ,timu mpaka Sasa imeshatumia £400m hata pass 10 kwa usahihi haiwez kupiga ,wapinzani wenu Liverpool na city wakati wamempiga 7-0 na 6-2


Jumapili tutawafundisha mpira mwingi
 
Disrespected o legend Ronaldo


Disrespected club legend De Gea


Pretends to be ruthless but can’t get rid of Maguire because he’s Enlgish


Rashford has more power than him at the club


Spends huge amounts of money on mediocre players


After spending £400M+ the team still can’t play cohesive attractive football


Loses by 3+ goals too often


Fans should already be asking questions about this fraud but they won’t because they think he’s Pep Guardiola 2.0
 
Spent all that time working with Pep & still modelled his style on Sam Alladyce.

A super Dutch David Moyes Erik 7 egg
 
Spent all that time working with Pep & still modelled his style on Sam Alladyce.

A super Dutch David Moyes Erik 7 egg
 
Erik 7 Egg has already surpassed Jurgen Klopp's net spend...

This is only his second season at Man United


Ni muda muafaka 7hag adaiwe mataji makubwa

Haiwezekani timu mpaka Sasa haijulikani inacheza style gan

Timu inacheza kwa kubahatisha na kusubiri miujiza na huruma za marefa kuokota point

Hii haikubaliki hata kidogo

 
We jamaa kila jukwaa upo na upo active kweli kweli,hongera sana
 
Mjibun huyo shabiki Lia Lia wa manjesta

Juzi Ambangile alihoji uwezo wa 7hag kule Twitter alishambuliwa na mashabiki oya oya wa manjesta
Ana haki ya kutoa hisia kama shabiki hata wakati wa Mourinho kuna waliokuwa wanamuona anafaa na waliomuona hafai.

Ambangile kahoji kama shabiki nikajua ana nafasi hata ya u-legend pale United
 
We jamaa kila jukwaa upo na upo active kweli kweli,hongera sana
Nimehoji tu Kama mdau wa soka

Hivi inawezekanaje unatoa €100m kwa average players Kama Anthony masebene

Unamnunua casemiro kwa €70m mchezaji ambaye hawez kucheza zaidi ya 2yrs


Unatoa €85m kwa CF ana goli 9 tu mechi 32


7hag Ni kocha tapeli
 
Ila huyu kocha bana eti anajifanyaga Hana huruma akamtimua Cr7 akamleta Weghost


Akamtimua Degea akamleta onana


Haya wachezaji uliowakuta wabovu, anaowaleta Sasa

Malacia -average player /injury prone

Eriksen -hawez kucheza dk 60

Casemiro-30yrs mla pension

Mount-a new Delle Alli

Hojlund- another average player

Anthony masebene-a very very average player

Kukubela soon anasajiliwa ,average player

Amrabat- average player aliye perfom mechi 3 za world cup


Martinez -sometimes Yes sometime No

Onana-not enough


TOTAL £400M





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…