Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na hoja yako unajifichia alimpa Nan debut na yupo XI

Nimekupa mifano ya Pep na Klopp hapo city na Liverpool

Narudia kwambia ukiona unatusi ujue hoja Zimekuishia. Career ya Klopp na Pep wana majina makubwa wametengeneza na mpaka leo yameishi kwenye mpira kwa maana hiyo hawana cha kuaminisha mtu kwamba wanaweza tengeneza Academy player kuwa World Star na ni wakati wanaanza Career zao za Ualimu! HUJANIPA JINA LOLOTE ARTETA KATENGENEZA toka ACADEMY msimu wa 5 Huu..

Saliba kamkuta ana miaka 18 yupo mkopo Nice

Pepe kamkuta ameshakuwa flop
Punguza Kuwa emotional! Pepe kasajiliwa Msimu alochukua ARTETA timu 2019, sasa Huo U-FLOP ulikuwa wakati wa Mchakato wa Usajili ama?? Saliba naye alisajiliwa Msimu huo huo na alibaki St. Ettienne kwa Mkopo, Yule kaja sukwa na JORGE SAMPAOLI Kuwa Player unayemwona Leo ARTETA Kamkuta NICE!! kumbe jamaa Arsenal yako still Huijui.

Kwa Hiyo kwa hoja ya Mwalimu lazima akamilishe Game 38 ndo aitwe mwalimu wa timu kwa msimu husika? Nilikupa Mfano Chelsea walimu walochukua UCL ni Di Matteo na TT na ndo inatambulika hivyo kama walimu wa hizo timu kwa Misimu husika.
 
Wewe pia ni loser jichekeshe kama shangingi tu mwisho wa siku sisi tusioeleweka na nyie mnaojikuta tayari level za Real Madrid tutakuwa tunaugulia maumivu
 
hamis77 spana ulizopiga hizi nyumbu alafu ikatokea jpil wakatupiga itakua ni hatari
Mkuu naomba hizi spana ziendelee baada ya game ya jpil

Umeshawaumiza vya kutosha
Kitoabu ameamua ajikite huko migodini Malawi
Flano Kama kawaida yake tutamuona asubuhi au mchana, huyu jamaa sijui atakua mlinzi Sasa hivi yupo lindo?
allypipi mwamba anapost kwa kuvizia, Yan Kama boxing tayari ametupa kitaulo
 
Sisi wanaume hatuogopi wake zetu nyie Gunners washika ukuta wa London
 
"Hujui mpira bro" hii kauli itakumbukwa kwenye hili jukwaa
 
Na huu ndo ukweli wengi wetu wanajaribu kuukataa kwa statistics.
 
Yaani unalazimisha ujinga , Pepe alishapewa nafasi na hakufikia matarajio

Still Pepe ana uwezo mzuri kuliko Anthony wa €100m na Sancho wa €80m combined

Porojo zote unataka kumtetea 7hag eti Ni kocha Bora ,msimu wa 2 kapewa £400m timu hata kupiga pass 10 kwa usahihi haiwezi


Sasa hii timu ina kocha au tapeli ?

William Saliba hajapikwa na sampaoli , William Saliba kasajiliwa akiwa na miaka 18 , kaachwa kwa mkopo

Kasajiliwa na maskauti wa Arsenal kwa kuona talent yake


Talent Kama hizi ukimpa Ten egg anazipoteza maana uwezo mdogo


Piga porojo ,ukweli unabaki pale pale Eriki Seven hag Hana tofauti na David Moyes


Unachekesha unajifichia kwenye kichaka Mchezaji gan kapewa debut yupo first eleven

Hivi nikuulize 7hag anaweza develop talent yoyote ? Toka amefika kamdevelop Nani ?


Haya kawakuta wabovu ,vipi anaowasajili mbona afadhali ya aliowakuta


Hizi Talent ukimpa 7hag atakwambia wabovu apewe pesa asajili anaowataka


Anakuletea kina Weghost, mount , Malacia
 
Acha ufala Gakpo alikuwa on fire kabla hata World Cup haitarajii kuanza na takwimu alishakuwa nazo za kutisha.
Mara Mia Gapko ,vipi Anthony alikuwa
wapi had 7hag anaenda kutapeliwa €100m

Kocha Mwenye akili hawez sajili takataka hii kwa €100m

Kuanzia hapa nilithibitisha huyu kocha ni tapeli ,ndio maana had Sasa Hakuna mchezaji wa maana aliyemdevelop na anaowasajili ni average players au wazeee


Anawaletea Kukubela , baada ya mount
 
Wewe pia ni loser jichekeshe kama shangingi tu mwisho wa siku sisi tusioeleweka na nyie mnaojikuta tayari level za Real Madrid tutakuwa tunaugulia maumivu
Wewe huna kocha ,timu msimu wa 2 hata kupiga pass 10 kwa usahihi haiwezi


Mnazidiwa had na Yanga ya Gamondi


Mnawaandama Graza ,wakati Kocha anasajili average players

Kocha Mwenye akili kweli unawezaje kumsajili mount eti acheze double 8


Anamsajili Hojlund kwa €85m mchezaji ana goli 9 tu Seria A mech 32


Baadae mnawaoma Graza hawafai
 
Huyu fala hamis77 anatutoa kwenye mijadala ya maana kwa kila sentensi yake kubeba neno 10Hag.
Hakuna anayewatoa kwa mijadala , humu mnadanganyana Sana

Humu waliibuka Hadi madalali wa Sheikh Jasim now wamekimbia

Graza family wanatupiwa matusi ,wakati mchawi Ni kocha tapeli Eriki Seven hag

Timu had Sasa haiwezi kupiga pass 10 kwa usahihi

Graza wanahusika vipi
 
Talent ndio nn maana unaongea hiki kitu muda sana? Au kuna namna ss hatuangalii mpira sawa na ww
 
Another talent hiyo imepotea


Anayewadanganya pale Ajax ,7 hag alikuwa ana uwezo mkubwa wakupigwa viboko

Pale Ajax hata ukimpa timu Fred Felix minziro baba isaya atafanya vzr kwanza Ligi laini


Don van de beek huyu hapa , Seven hag alikuwa anatamba nae Ajax ,mbona kamshindwa hapo manjesta


7hag Ni kocha tapeli,anayejificha kwenye makelele ya Grazzer out

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…