Kwa Emirates hamna hiyo bahati ingekuwa OT sawaHifadhi manenounajua vizuri mpira wetu. Butua-butua dk 90 tunaondoka na points 3.
Nashukuru kwa kurudi ila Usijibu kwa Hasira, Mi nilitegemea hoja toka kwako ambazo zinaambatana na mafanikio mliyoyapata {Cup Mbele ya Pep na Klopp {ulicheza fainali na yupi kati ya City na Liverpool?} kwa Hoja Pointi yako hata Brendan Rodgres kachukua Cup mbele ya Pep na Klopp, So is ETH!Usiongee kishabiki ,Arteta Hana misimu mitano
Mkuu wewe ni kisema unawazimu ndakuwa nakosea sisi tunazungumzia alio waibua kutoka academy kusema uelewi swali.Na wewe unamuamini huyo jamaa anakwambia Arteta ana miaka mitano ,Arteta kaja Arsenal 2019 January ,Sasa had leo ni miaka mitano ?
Yaan unaburuzwa unakubali
Kina Saka , Smith Rowe,Saliba ,sio makinda pale Arsenal
Au unadhan aliwakuta hiv walivyo ?
Saka kamkuta Ni beki wa kushoto , Martinelli kamkuta miaka 18 anacheza Sana mech za academy ya Arsenal, sawa na Smith Rowe ,yeye ndiye kawapa jezi no.7,10, na 11
Uliza swali lingine
Nyie ndio mna wazimu aisee kwamba amtoe academy halafu amuweke nje nan bench ,Mkuu wewe ni kisema unawazimu ndakuwa nakosea sisi tunazungumzia alio waibua kutoka academy kusema uelewi swali.
Yaan unakomalia ana misimu mitano unaweza kuweka hapa kila msimu una mechi 38 za ligi ,onesha hapa Arteta ana mechi 38×5 tuthibitishe kuwa ameiongoza Arsenal kwa misimu mitanoNashukuru kwa kurudi ila Usijibu kwa Hasira, Mi nilitegemea hoja toka kwako ambazo zinaambatana na mafanikio mliyoyapata {Cup Mbele ya Pep na Klopp {ulicheza fainali na yupi kati ya City na Liverpool?} kwa Hoja Pointi yako hata Brendan Rodgres kachukua Cup mbele ya Pep na Klopp, So is ETH!
Arteta kaajiriwa rasmi Arsenal DEC 2019, so mpka leo ni SEASON 5 { Njoo na hoja ya kupinga hili, Mana Kocha wa Arsenal msimu wa 19/20 ni Arteta sijui kwako ni nani}
STILL UNAKWEPA SWALI LANGU, NITAJIE ACADEMY PLAYER WA ARSENAL ALIEPEWA DEBUT NA ARTETA NA MNAE KWENYE KIKOSI?
Dah! Eti kupandisha uwezo! We jamaa Mi Naheshimugi sana michango yako ukiwa unatoa unazi! Moyes unamchukulia Poa na ndo kamleta Arteta kwenye Ramani ya Mpira!! Moyes kampa Debut Wayne Rooney na timu yako Arsenal na akawaeka goli lake la kwanza na ni moja ya Wachezaji bora zaidi kuwahi kutokea UTD, Arsenal hamna Level ya Mchezaji kariba la Rooney na Hamjawahi kuwa naye aliyepata mafanikio kama yake.
Mi Nilikuuliza Mafanikio ya Arteta kwa Season 5 ni yapi? Hukujibu hili, So achana nalo. Nijibu Hilo la Academy Players wenu walopewa nafasi na Kocha wako Forgotten na Bagabeach nao wali-quote kusikiliza jibu lako.
Labda kurudi nyumaHivi akiumia casemiro nani anamsaidia? Casemiro atacheza mech zote?
Hii timu inasonga mbele au inarudi nyuma?
Kwa kuwarekebisha tu Arteta kapewa timu 2019 Dec ...Usiongee kishabiki ,Arteta Hana misimu mitano ,
Kapewa timu 2019 January amalizie msimu kwakufukuzwa Unai Emery hakupewa hata 100 , akabeba FA. NA CS mbele ya Pep na Klopp
7hagg toka amekuja manjesta mchezaji gani kamdevelop ?
Why hata anaowasajili wamekuwa ovyo kuliko aliowakuta?
Mfano Anthony na Elanga au Pellistri
Weghost
Malacia
Mount
Timu Kama forest, wolves mta struggle Sana sababu moja tu ile ile naisema daily 7 hag uwezo wake mdogo
Ajax hata akienda mgunda atafanya vzr Tena anaweza mzidi 7hag
Ajax ,Celtic sio vipimo vya kumpata kocha Bora
Soon mtakubaliana na Mimi pamoja na kuwalaumu Grazzer, 7hag uwezo wake kimbinu ni mdogo
Dogo huwa unaongea sana kama mwanamke shangingi badae unakimbia majukwaa yote. Look very!Kwamba mtakuja na
Bisaka Lindelufu Shotii dalot
Dalot huyu amkabe Bukayo Anyonyika Temidayo saka?
Kiungo mnaweka Casemiro babu Eriksen babu na Buruno malalamiko
Wapambane na hii combinenga ya Zinny Rice Partey Ødegaard Fundi mmoja na nusu
Aisee
Nacheka Lakini naogopa
Kuna mtu anasema 7hag tumngoje Hadi apate wachezaji 11 wakwake
Tufanye simple mathematics
Kwa £400m had Sasa wachezaji wenye afadhali aliowasajili ni Lisandro na Onana
Means kwenye kila £400m 7hag anabahatisha wachezaji wenye afadhali wawili
Inahitajika
£400m anapata 2
Kwa 11 atatumia ngapi?
Anahitaji £2.2Billions apate anngalu first eleven,hapo hatujazungumzia Playing style,n.k
Huyu krismass anaweza asifike
Halafu hoja yako mbona ya kipuuzi Sana
We jamaa Kumbe bado sana baadhi ya mambo! Usiwe na Michango Mingi kama Media za Bongo ambayo inakuwa kama Vijiwe vya kahawa vinavyopata Airtime.Hata Pep ni Foden tu Tena sio first eleven,klopp ni TAA tu,
Katumia £450m tu kuunda timu yenye thaman ya£1Billion
Tumzungumzie kai haverts saiv au baadae??
Yaan unakomalia ana misimu mitano unaweza kuweka hapa kila msimu una mechi 38 za ligi ,onesha hapa Arteta ana mechi 38×5 tuthibitishe kuwa ameiongoza Arsenal kwa misimu mitano
Halafu hoja yako mbona ya kipuuzi Sana
Arteta kakuta wachezaji wa academy ambao wameshapewa debut kwenye Carabao na Europa ,
Kawa develop had unawaona leo
Unakomalia aliyempa debut halafu awe first eleven ,mbona kigezo Cha kipumbavu Sana
Hata Pep ni Foden tu Tena sio first eleven,klopp ni TAA tu,
Hoja kwa 7hag naona unaikwepa na huwez kuijibu
Ni mchezaji gan kamkuta kamuongezea uwezo Zaid tunaona anadai ni wabovu na anaowasajili ni wabovu Zaid
Usimfanishe Arteta na 7hag kwenye swala la ku mdevelop mchezaji na hata kimbinu
Mikel ndiye kawatengeneza Martinelli,saka , Øde,Smith Rowe ,
Katumia £450m tu kuunda timu yenye thaman ya£1Billion
Wakat 7hag ametumia £400m timu imejaa wazee na haina playing style
Kuna mtu anasema 7hag tumngoje Hadi apate wachezaji 11 wakwake
Tufanye simple mathematics
Kwa £400m had Sasa wachezaji wenye afadhali aliowasajili ni Lisandro na Onana
Means kwenye kila £400m 7hag anabahatisha wachezaji wenye afadhali wawili
Inahitajika
£400m anapata 2
Kwa 11 atatumia ngapi?
Anahitaji £2.2Billions apate anngalu first eleven,hapo hatujazungumzia Playing style,n.k
Huyu krismass anaweza asifike
Pepe, jorginho au jesus ?? Maana wachezaji wako we huzungumzi arteta kawa improve nn?
Unapoteza muda kumjibu huyu jamaa ?Mbona mkali unakuwaga na Michango mizuri sana ya Soka ila kwa ETH unakuwa kama unaendeshwa na Hisia zaidi! Kuna wakati huwa unasema De Zerbi asipewe timu kubwa sababu atatisha sana na Maneno mengine ya aina Hiyo. Ni Mwalimu Mzuri ila Unadhani kwa nini Timu kubwa Nyingi Italy wakati anaondoka Sassuolo hazikuwa na muda naye na nyingi kati yao hazikuwa na walimu wa uhakika?
Kila Mwalimu ni Bora kwa Style yake akipata Players anahitaji kuweka falsafa yake {Hakuna Mfumo Universal kwamba ndio Bora} Hata Sean Dyche angepewa World Class Players kwa Style yake kucheza na Ilokuwaga Burnley yake ingekuwa kazi jaribu kuwaza yeye anaamini katika Def Set-Up na Long Balls, awe na kina Pepe, LLoriente, Aduriz, Zlatan, Matic, Drogba, etc kwenye kila nafasi hamna ambae angetamani Game na timu yake.
Unazungumzia sana TALENT ID, Juzi umekwepa Swali langu na leo kauli yako inaonyesha uliliona ukakwepa, Wewe ni Arsenal Fan, ARTETA ameshasajili wachezaji 29 na kombe analo 1, ETH alisajili 4 akaweka Kombe 1 mezani CR7 kocha kamkataa, Auba, Ozil, Lacazette kesi hiyo hiyo. Unasema hana namna ya kuwaamini Academy Players, tuna Garnacho na kama sio Injury ungekuwa unamwona Mainoo akipata dakika.
Swali langu Narudia, NITAJIE ACADEMY PLAYER/S YEYOTE ALIYEAMINIWA ARTETA MNAE KWENYE KIKOSI NA KAPATA DEBUT TOKA KWA ARTETA? Nakukumbusha Arteta ana msimu wa 5 Arsenal.
Kutochukua ligi miaka 19 hakutajaacha matandabui kwenye kabati lao tu hadi brains za baadhi ya fans wa Gunners kama yeye zina matandabui.Unapoteza muda kumjibu huyu jamaa ?
Michango yake mingi inaendeshwa kwa hisia,,,, ana mihemuko ,,,,
Anaamini arteta ni bora kuliko kocha yeyote yule nje na ndani ya Europe,,,,
Anaamini arsenal ndo timu bora Duniani,,,na itashinda kila kombe,,, refer last season, kila kombe wakitolewa anajitetea tunaitaka EPL mwisho wa siku wameangukia pua,,,
Kingine ana husda na ETH , mbaya zaidi kwa Anthony sijui ni lile goal alilowafunga ,,,,
Wachezaji wengi wamenunuliwa more than 100 hawajadeliver vizuri kinyume na matarajio, refer coutihno, mudryk, big rom , n.k soon huyu rice anaweza akafeli,,, hilo linatokea pia
Arsenal Chini ya Mikel wamesajili more than 20 players, wana kombe moja, husikii akizungumzia mahali,,,,
Kama umejikita kwenye uchambuz usiwe biased, ama la enjoy football tulia Acha ngebe,,,,
Arteta ana Sajili takribani 29.Arsenal Chini ya Mikel wamesajili more than 20 players, wana kombe moja, husikii akizungumzia mahali,,,,
Kama umejikita kwenye uchambuz usiwe biased, ama la enjoy football tulia Acha ngebe,,,,