Hawezi kujibu. 😂Swali langu Narudia, NITAJIE ACADEMY PLAYER/S YEYOTE ALIYEAMINIWA ARTETA MNAE KWENYE KIKOSI NA KAPATA DEBUT TOKA KWA ARTETA? Nakukumbusha Arteta ana msimu wa 5 Arsenal.
bro hamis77 tunaomba uje utujibie ili swali maana unalikimbia kila siku kujibu hapa zaidi ya kuja kupiga kelele arteta masterclasses kainua kinda gani toka academy kwa miaka 5 aliyokaa hapo Wenger orphans.Mbona mkali unakuwaga na Michango mizuri sana ya Soka ila kwa ETH unakuwa kama unaendeshwa na Hisia zaidi! Kuna wakati huwa unasema De Zerbi asipewe timu kubwa sababu atatisha sana na Maneno mengine ya aina Hiyo. Ni Mwalimu Mzuri ila Unadhani kwa nini Timu kubwa Nyingi Italy wakati anaondoka Sassuolo hazikuwa na muda naye na nyingi kati yao hazikuwa na walimu wa uhakika?
Kila Mwalimu ni Bora kwa Style yake akipata Players anahitaji kuweka falsafa yake {Hakuna Mfumo Universal kwamba ndio Bora} Hata Sean Dyche angepewa World Class Players kwa Style yake kucheza na Ilokuwaga Burnley yake ingekuwa kazi jaribu kuwaza yeye anaamini katika Def Set-Up na Long Balls, awe na kina Pepe, LLoriente, Aduriz, Zlatan, Matic, Drogba, etc kwenye kila nafasi hamna ambae angetamani Game na timu yake.
Unazungumzia sana TALENT ID, Juzi umekwepa Swali langu na leo kauli yako inaonyesha uliliona ukakwepa, Wewe ni Arsenal Fan, ARTETA ameshasajili wachezaji 29 na kombe analo 1, ETH alisajili 4 akaweka Kombe 1 mezani CR7 kocha kamkataa, Auba, Ozil, Lacazette kesi hiyo hiyo. Unasema hana namna ya kuwaamini Academy Players, tuna Garnacho na kama sio Injury ungekuwa unamwona Mainoo akipata dakika.
Swali langu Narudia, NITAJIE ACADEMY PLAYER/S YEYOTE ALIYEAMINIWA ARTETA MNAE KWENYE KIKOSI NA KAPATA DEBUT TOKA KWA ARTETA? Nakukumbusha Arteta ana msimu wa 5 Arsenal.
Umeongea pumba za kutosha nyingiMbona mkali unakuwaga na Michango mizuri sana ya Soka ila kwa ETH unakuwa kama unaendeshwa na Hisia zaidi! Kuna wakati huwa unasema De Zerbi asipewe timu kubwa sababu atatisha sana na Maneno mengine ya aina Hiyo. Ni Mwalimu Mzuri ila Unadhani kwa nini Timu kubwa Nyingi Italy wakati anaondoka Sassuolo hazikuwa na muda naye na nyingi kati yao hazikuwa na walimu wa uhakika?
Kila Mwalimu ni Bora kwa Style yake akipata Players anahitaji kuweka falsafa yake {Hakuna Mfumo Universal kwamba ndio Bora} Hata Sean Dyche angepewa World Class Players kwa Style yake kucheza na Ilokuwaga Burnley yake ingekuwa kazi jaribu kuwaza yeye anaamini katika Def Set-Up na Long Balls, awe na kina Pepe, LLoriente, Aduriz, Zlatan, Matic, Drogba, etc kwenye kila nafasi hamna ambae angetamani Game na timu yake.
Unazungumzia sana TALENT ID, Juzi umekwepa Swali langu na leo kauli yako inaonyesha uliliona ukakwepa, Wewe ni Arsenal Fan, ARTETA ameshasajili wachezaji 29 na kombe analo 1, ETH alisajili 4 akaweka Kombe 1 mezani CR7 kocha kamkataa, Auba, Ozil, Lacazette kesi hiyo hiyo. Unasema hana namna ya kuwaamini Academy Players, tuna Garnacho na kama sio Injury ungekuwa unamwona Mainoo akipata dakika.
Swali langu Narudia, NITAJIE ACADEMY PLAYER/S YEYOTE ALIYEAMINIWA ARTETA MNAE KWENYE KIKOSI NA KAPATA DEBUT TOKA KWA ARTETA? Nakukumbusha Arteta ana msimu wa 5 Arsenal.
Na wewe unamuamini huyo jamaa anakwambia Arteta ana miaka mitano ,Arteta kaja Arsenal 2019 January ,Sasa had leo ni miaka mitano ?bro hamis77 tunaomba uje utujibie ili swali maana unalikimbia kila siku kujibu hapa zaidi ya kuja kupiga kelele arteta masterclasses kainua kinda gani toka academy kwa miaka 5 aliyokaa hapo Wenger orphans.
Unaandika kwa hasira ila ukweli unaujua 7 egg ni kocha tapeliKatika miaka yote ya soka Talent ID imeanza kujulikana baada ya Ten Hag kutua Man United na kuna makocha wengi wa mchongo watoa maboko sijawahi kusikia hiyo kitu na imezaliwa 2022 kisa Man United.
Wanaobweka kuhusu huo uchafu wa kuitwa talent ID ni wafuata mkumbo kama wewe na wengi nawachukulia kama mashoga tu
Mzee baba Hilo nalo ni swali ? Kwanza Ni uongo Arteta Hana miaka mitano pili Kazi yakuinua vipaji pale Arsenal haijifichiHawezi kujibu.
2019/20Mzee baba Hilo nalo ni swali ? Kwanza Ni uongo Arteta Hana miaka mitano pili Kazi yakuinua vipaji pale Arsenal haijifichi
Huyu 7 egg niliwaambia awali kabisa
Uzuri Leo mnakiri wenyewe
Tena wewe ulikuwa unatetea Sana sajili ya Anthony masebene,
2019/20
2020/21
2021/22
2022/23
2023/24
Misimu 5 hiyo ya Arteta. Kazi ipi ya kuinua vipaji haijichi? Lete majina ya wachezaji aliowa-promote Arteta kutoka Academy.
Ten Hag, kwanza timu imemfelisha kwa kutomletea 1st choice zake ila bado EtH hawezi kukwepa lawama.
Antony siyo usajili mbaya, tatizo lipo kwa watu wa juu kuchelewa kwao kufanya maamuzi ndiyo kumepelekea wakatoa €100m.
EtH anachonikera kwa sasa ni kutumia wachezaji walewale wanaomfelisha kila siku. Masuala ya hela hahusiki maana siyo anaye-negotiate.
Ila baada ya kutumia £400m nilitegemea tutakuwa bora dhidi ya mid-table teams matokeo yake sisi ndiyo tunacheza kama timu ya Championship.
Mimi sitaki tuwafunge Liverpool au City home & away. Nataka kuona angalau tukicheza mpira wa kueleweka na kuziadhibu timu kama Nott'm Forest ipasavyo. Wolves kucheza mpira ule Old Trafford haikubaliki. EtH inabidi timu yake ifanye sasa yale anayoyaimba kila siku, maneno yanekuwa mengi kuliko vitendo.
😂😂 mnachekesha kweli. Sasa huyo si alikua nominee!View attachment 2733297
Haya kambishie rashford ambaye yupo ulaya
Hii debate haitaisha tusubiri tu kuona Arteta na EtH watafanyaje. Muda ndiyo kila kitu, ipo siku itajulikana nani ni kocha bora.Usiongee kishabiki ,Arteta Hana misimu mitano ,
Kapewa timu 2019 January amalizie msimu kwakufukuzwa Unai Emery hakupewa hata 100 , akabeba FA. NA CS mbele ya Pep na Klopp
7hagg toka amekuja manjesta mchezaji gani kamdevelop ?
Why hata anaowasajili wamekuwa ovyo kuliko aliowakuta?
Mfano Anthony na Elanga au Pellistri
Weghost
Malacia
Mount
Timu Kama forest, wolves mta struggle Sana sababu moja tu ile ile naisema daily 7 hag uwezo wake mdogo
Ajax hata akienda mgunda atafanya vzr Tena anaweza mzidi 7hag
Ajax ,Celtic sio vipimo vya kumpata kocha Bora
Soon mtakubaliana na Mimi pamoja na kuwalaumu Grazzer, 7hag uwezo wake kimbinu ni mdogo
Hifadhi maneno 😄 unajua vizuri mpira wetu. Butua-butua dk 90 tunaondoka na points 3.Kwamba mtakuja na
Bisaka Lindelufu Shotii dalot
Dalot huyu amkabe Bukayo Anyonyika Temidayo saka?
Kiungo mnaweka Casemiro babu Eriksen babu na Buruno malalamiko
Wapambane na hii combinenga ya Zinny Rice Partey Ødegaard Fundi mmoja na nusu
Aisee
Nacheka Lakini naogopa
Tuzo mbili tofauti. Haaland kapigiwa kura na wachezaji, Rashford kapigiwa kura na mashabiki.😂😂 mnachekesha kweli. Sasa huyo si alikua nominee!
View attachment 2733361
Haya nionyeshe Rashford na kombe lake!😀
Haihitaji ushabiki au kurunzi, kujua 7hag kocha wa kawaida ,na mpaka atafukuzwa hatapata playing style hapo manjestaHii debate haitaisha tusubiri tu kuona Arteta na EtH watafanyaje. Muda ndiyo kila kitu, ipo siku itajulikana nani ni kocha bora.