Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ten Hag wants Marc Cucurella because him and his staff have fond memories of the player back in that famous Getafe vs Ajax tie in the 2020/21 season. [
@gerardromero
]
 
Asee so kila mtu mwenye mfungamano na Ajax ni favorite kwa Haag, kwanini asimfikirie Kudus Sasa
Sioni shida katika hili watu wanakuza sana vitu,kwani kocha akimpenda mchezaji wa timu pinzani iliyocheza na timu yake mbeleni akija kumtaka shida ipo wapi?

So siku akimtaka hata mchezaji wa Sevilla watalink connection na mechi dhidi yao?

Pia kashacheza dhidi ya timu za EPL so akiwataka wachezaji toka timu za Brentford,Brighton,Everton n.k zote zimecheza dhidi ya United so itakuwa ni connection?


Nafuu wangegusa wale aliowahi kuwafundisha ingeleta sense kiasi flani ila sasa kwa hili wanaonekana kama brainless,soka ni mzunguko sasa kila akimtaka mchezaji wanaforce kutafuta linking yao.
 


Akichukua mwarabu
 
Hawa majeruhi shida ni nini mbona wanaongezeka tu halafu hakuna hata uharaka wa kupata hizo nafasi na dirisha linafungwa.
 
Hawa majeruhi shida ni nini mbona wanaongezeka tu halafu hakuna hata uharaka wa kupata hizo nafasi na dirisha linafungwa.
Kwa wengine sishangai ila kwa Varane huwa kila mechi naangalia huku nahofia jamaa kuumia,majeraha yake taarifa hizi hazijanishangaza

Unaambiwa tangu afike mechi 66 kacheza huku 34 kakosa kwa sababu ya majeraha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…