Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ww kwan hao wachezaji unaosema ww n wazima wamekuja mkocha wangapi na performance yao ili badilika? Sasa unamtupiaje lawama kocha...apo sajili zifanyike hata saba mafuta yatajitenga na maji tu
 
Target gan hazieleweki angalia taget za kocha
Nunez
Gapko
De jong
Tobido
Ambrabat

Alafu angalia baada ya kuwakosa inabidi atafute solution za muda mfupi zima moto kina wehghost
Apo kuna wachezaji tunanashindwa kuwa sajili sababu ya kuanza kubargain mfano n Nunez na hyo gapko
Hata sajili zilizofanikiwa utaona tunavyo pata shida kusajili yaan tunakaa wiki nne kupambania kusajili mchezaji mmja ila wakija vilabu vingine siku mbili au tatu wanabeba mchezaji angalia Liverpool, Manchester city, Chelsea na arsenal hatuwezi kubattle nao tukiwa tunataka mchezaji

Na kocha yupo serious hataki mchezaji ambaye haendani na mifumo yake ndio maana anatafuta zima moto kama kina sabitzer na wehghost
 
Na why alikuwa hamtaki bisaka baadae alipona anamsaidia Sana kukaba akampa mkataba

Akamuongezea dalot pia mkataba ,why asitafute RB mwingine wa kiwango Cha juu?

Mambo Kama haya wanalaumiwa Grazzer family
Kwan we huoni wan bisaka ka improve sana regardless hajafikia kiwango bora sana lakn pia ni kutokana na performance ya timu...au ww saiv dalot na bisaka upande ule bora yupi acheze kati yao?
 
Hujui mpira...ww unamuongelea cr7 ambae hakuna timu ya Europe iliyomtaka hata akiwa huru
 
Ila tuwe tunaondoa Emotions zetu tukiwa tunazungumzia jambo! Tunakoseaga tuwe tunakubali katika Hilo,

Tusiwe na Michango Mingi ilokaa Kinazi zaidi, KAI ni Good Player ila sio World Class na namna unasimia Point yako ni kupitia takwimu ama michango ya wachambuzi sio kabisa ambao wengi ni wazungumzia Mahaba mana unaweka reference mpaka ya Talksport, Sky, BBC et al. Mpira Uzuri wake unachezwa Uwanjani.

Unazungumzia kucheza Style ya mwalimu Husika, Arteta ana misimu Mi 5 Kombe 1, {Ngao ni Bonanza haina tofauti na Friendly Match} ETH kamfikia Mafanikio yake ndani ya Season 1 tu! Style ya kucheza!! Mwalimu lazima awe na Blueprint yake katika Timu.
Hujui mpira...ww unamuongelea cr7 ambae hakuna timu ya Europe iliyomtaka hata akiwa huru
Umemaliza Mkali CR7 Ni lengendary lakini hauwezi jenga timu kumzunguka kwa sasa.
Auba, Ozil, Lacazette wamendoka Arsenal sababu Arteta kaona haezi fanya nao kazi but hao walishakuwa World Class Level ila Hili wao Hawalihoji, Amekuja Cheza mpira wake anataka Season ya 4 na Still hana cha Kuonyesha amepata na Huo MPIRA MZURI!

Mara Nyingi tusiweke Michango ilokaa zaidi kwa tunachoamini ama kwa kile unachosikia kwa unaowaamini. Mpira unatizamwa na wote na wengi wanafanya Analysis tu ikitaka jua Ni kazi rahisi wanafanya WAAMBIE KABLA YA GAME WA-BET ILI WAWE NA UHAKIKA NA KILE WANASEMA, ETH kashasema anataka timu iwe "the Very Best kwenye Transition" UTD mpka sasa ndo inaongoza Win Possession kwenye Final Third, Inaongoza kwenye Chance Creation, Bado haijakamilika na ina UHITAJI MKUBWA but taratibu inasogea! Kupandisha kiwango unashangaa kina Rashy ni wa kawaida ila kawa na Season bora kuliko zote tangu Debut, Dalot, AWB, wote huwazungumzii, Garnacho na sasa Mainoo wanapanda Taratibu, nitasubiri uje utaje jina la Maana toka Academy ya Arsenal alopandisha ARTETA!
 
Akijujibu hyo hamis77 , nitag au nichek DM dear brother
 

Huyo hamis77 ni mchambuzi uchwara msimchukulie serious
 
Leo mi tarehe 29 kasoro dakika chache lakini Man utd haionyeshi dalili za kusajili wachezaji kwenye maeneo ambayo yalionekana yana upungufu tangu msimu uliopita. Ni kama aidha tunatembelea bahati au uwezo binafsi wa mwalimu hadi hapa tulipofikia, sina uhakika lipi ni sahihi.

Pia pamoja na majeruhi wanaozidi kurundikana lakini bado hakuna la maana tunalofanya kwenye usajili,ni kama tunatafuta nafasi za kucheza ligi ya mabingwa ila hatujui kule malengo yetu ni yepi.

Kuanzia leo nakubaliana na LvG kwamba UNITED ni commercial club.
 
𝐎𝐧 𝐓𝐑𝐒𝐬 πƒπšπ², 12 years ago, Manchester United beat Arsenal 8-2 with this starting lineup


#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™


man utd |
 
Bruno Fernandes Heatmap from last season.

He was everywhere. 🫁

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™


man utd |
 
Bruno Fernandes has missed more penalties in his career (5) than games due to injury (4):

Misses:
vs. Napoli
vs. Loures
vs. Newcastle
vs. Villa
vs. Arsenal

Injuries:
Flu - Napoli
Leg injury - Ukraine
Leg Injury - Serbia
Illness - Spurs

Iron Man.

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™


man utd |
 
Ten Hag wants Marc Cucurella because him and his staff have fond memories of the player back in that famous Getafe vs Ajax tie in the 2020/21 season. [
@gerardromero
]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…