Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Upo sahihi pale Brighton Kuna watu wanaosajili vzr

Pamoja na hayo ukiongeza na ubora wa Di zerbi ndio unapata balaa Hili

Di zerbi ana takwimu ambazo sijawahi ona kocha wa timu ndogo anaziweka kwa misimu ya karibuni

Anaongoza kwenye takwimu ambazo zinawekwaga na city

Msimu Jana alichukua timu katikati ,safari hii Di zerbi anaenda kutembeza vipigo Sana ,

Leo Westham ajiangalie Sana anaweza kudhalilishwa
 
Elangaaaaa.

Awoinyi......

Msipookota point leo ,mjiandae kuchukua nafasi ya Chelsea 12th

United are going to be the joke of season.

David Moyes 2013-14 replica season incoming
 
Kocha kaanza kulalamika wachezaji wavivu
sasa unawapanga wa Nini weka nje tuanze project mpya na vijana wa academy, maana haiwezekani watu hawasikilizi maelekezo na bado unawapanga kila siku.
 
Kocha kaanza kulalamika wachezaji wavivu
sasa unawapanga wa Nini weka nje tuanze project mpya na vijana wa academy, maana haiwezekani watu hawasikilizi maelekezo na bado unawapanga kila siku.
Sasa ukiwatoa utampanga nani?

Ralf aliwahi kulalamika pia ila hamna namna halafu EPL ukitaka uaibike vibaya panga watoto wadogo toka Academy

Wale watoto wanafaa kuingia taratibu kwenye timu mmoja mmoja
 
Fukuza huyo jasusi Ten hag alafu lete kocha wa mpira Ngũgĩ wa Thiong'o Manchester United wacheze style ya "Devil on the Cross"
 
Mashabiki mmesusa tim

Wekeni kikosi basi tufanye uchambuzi uchwara.
 
Sasa ukiwatoa utampanga nani?

Ralf aliwahi kulalamika pia ila hamna namna halafu EPL ukitaka uaibike vibaya panga watoto wadogo toka Academy

Wale watoto wanafaa kuingia taratibu kwenye timu mmoja mmoja
Basi aache kulalamika tuende tu kama Ole boys wamefanya poa yaishee kama kocha analalamika sisi tufanyeje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…