Jishikilie ulipo kaa, watakuja top reds (according to them) wakulushie mawe, umegusa tako la kipenzi chaoLuke Shaw kati ya wapuuzi ambao sijawahi kuwaelewa hata wacheze vipi,nishawahi kuwaambia fans wenzangu kuwa Shaw hata maajabu huwa anakamia akiona namba yake ipo kwenye risk
l
Last season katafuta alichokuwa anakitaka mkataba mpya na mshahara mnono sasa ni muda wake wa kurudi default version ya yule aliyekuwa anawekwa nje hadi na Brandon Williams.
Kaanza na majeruhi sasa ngoja arudi uwanjani mtajionea
Ten Hag tutamtetea kwa sababu tunampenda tu ila kuna matatizo msimu huu kayaanzisha yeye hasa kuwapa mikataba Rashford na Shaw hata wacheze vipi sina imani nao kabisa,Rashford kadrop na Shaw akirudi anadrop sasa usiombe iwe game na Liverpool ndio hugeuka uchochoro kabisa.Jishikilie ulipo kaa, watakuja top reds (according to them) wakulushie mawe, umegusa tako la kipenzi chao
Ten hag hawezi kukwepa lawama ,binafsi nilisema humu toka mwaka Jana ila matokeo yaliwafanya wengi wawe vipofu, sajili za Ten hag nyingi haziingii first eleven kutoa impactAchana na Sancho mimi sijazungumzia yeye hapo kuna vilaza wapo tangu wakati Ole anafika ila hawabadilikagi.
Mbona hata Nicolaus Pepe alikuwaga hatari zaidi ya Sancho nini kikamkuta
Kuna wachezaji kocha hawezi kuwapandisha viwango hata iweje mmejionea kwa Arsenal yetu hivi mbali na Xhaka nani ambaye Arteta kamkuta na kumuinua kiwango.
Arsenal yenu pia ilibadilika mazima baada ya wachezaji 10/11 wa first 11 kuwa ni maingizo ya Arteta.
Hata Klopp asjngetoboa na wale akina Allen,Moreno,Can,Clyne,Skrtel,Benteke n.k Liverpool ilikuja kutawala baada ya wachezaji wa first 11 9/11 kuwa maingizo yake.
Sio kulazimisha kupambana huku una average players ambao hawapati namba timu yoyote ya top 6.
Tuache kuwapa makocha majukumu ya kisenge wao sio Magicians ni tuwape nafasi ya kuweka wachezaji wao.
Ya Dalot niliisahau ila hapaswi kuanza mbele ya Bissaka hasa big matches.Na why alikuwa hamtaki bisaka baadae alipona anamsaidia Sana kukaba akampa mkataba
Akamuongezea dalot pia mkataba ,why asitafute RB mwingine wa kiwango Cha juu?
Mambo Kama haya wanalaumiwa Grazzer family
Ten hag yeye bubu asiombe msaada wa DoFYa Dalot niliisahau ila hapaswi kuanza mbele ya Bissaka hasa big matches.
Siwezi kuwalaumu Glazers kwa sajili za Ten Hag kwa sababu tumezifanya kilazima timu zinaongeza thamani za wachezaji ili kukomoa badala ya kuachana nazo tunaenda nazo.
Glazers wamewaweka watu wao Murtough na Arnold ambao wapo clueless kuhusu mpira that's why kocha hana wa kushauriana tofauti na alipokuwa Ajax.
Akiwepo Technical director mjuzi wa soka anaweza kuiokoa timu na kuspend hela kwa mchezaji asiye sahihi.
Jurgen Klopp alimhitaji Draxler Liverpool ila Michael Edwards akamletea Salah kilichobaki historia,nadhani umeona shida ipo wapi.Wangekuwepo wajuzi wa mpira wangemshauri kocha hapa huyu mchezaji hapana chukua huyu na ungekuta analeta matunda mazuri,sasa hao wahasibu wetu wanajua nini zaidi ya kuhesabu hela
Point inakuja hapo hadi najiuliza why alikubali genius kama Ralf Rangnick asepe kizembe.Ten hag yeye bubu asiombe msaada wa DoF
Pale Astonvilla walipomtimua Gerlad wamemleta Unai Emery, alipokuwa arsenal aliomba aletewe Monchi sababu wanaendana nae mawazo hakuletwa akavurunda Sana
Alipofika Villa Cha kwanza amewaambia namtaka Monchi ,Villa wamepambana wamevunja mkataba kaletwa Monchi
Sasa ten hag Kama anahitaji watu why yupo kimya analeta wachezaji wake kutoka Erevedise
Tutawatukana mkiweza kutwaa ubingwa hakuna makamu bingwa
Ten hag yeye bubu asiombe msaada wa DoF

Yupo sahihi Ten Hag ni fala kakaa kizembe kushindwa kuomba kuletewa Director Of FootballWe jamaa una ubishi tu na chuki juu ya ETH
Embu uwe unafatilia mambo vizuri kabla ya kuleta porojo kwnye hili jukwaa pendwa
Chuki gani Sasa, wewe ndio unabaki peke yako humu kumtetea 7hagWe jamaa una ubishi tu na chuki juu ya ETH
Embu uwe unafatilia mambo vizuri kabla ya kuleta porojo kwnye hili jukwaa pendwa
Mara ya mwisho mmeshinda Lin pale EmiratesNa nafurahi kua unaipenda sana Manchester unaitakia mema Asante sana
Ushindi wetu mnono utaanzia pale Emirates stadium
3rd Sept Tea time️ pale uingereza.
Yupo sahihi Ten Hag ni fala kakaa kizembe kushindwa kuomba kuletewa Director Of Football
Chuki gani Sasa, wewe ndio unabaki peke yako humu kumtetea 7hag
7hag ana nguvu hapo manjesta ndiye anasajili hao kina Anthony,Malacia , werghost , mount
Na nilisema itafika muda mtawageukia Grazzer family,wakati anayesajili average players sio wao
7hag kapewa €250m last season akasajili
Anthony masebene€100m
Malacia average player
Casemiro€70m 30+yrs
Eriksen 30+yrs
Werghost
Lisandro
Mkawapamba Sana ,lakin wanaojua mpira walisema hata usajili wa casemiro ni ovyo ,
Ten egg anakwepaje lawama ,
Wakati mnashinda tulisema ni sababu ya form ya Rashford lakin sio playing style yakocha ,ila kwakuwa tunajua Rashford huwa ana kipind ata drop bas tutaona sura halisi ya Ten egg
Leo unasema nachuki ,au nifukue makaburi kipind nasema haya
Sasa subiri mkose point kwa forest uone Kama hamshiki mkia
Kwa hiyo hajacheza manjesta? Au hujui ililipwa €3m ya loan feeWerghost alisajiliwa Man U Kumbe??
DoF wa manjesta Sasa ni naniKwamba unadhani ma boss hawalijui hilo swala, hao ma legend hawaja anza kupiga kelele juzi kwamba dop anatakiwa ila ndo ivo utawala mzima wa Manchester Upo ki business zaidi