GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,676
- 18,000
Manchester United ni timu kubwa.Sijui kwanini mchezaji wa Manchester United akizingua kidogo agenda inakuwa kubwa sana kwake.
Takwimu za rice vs casemiro msimu huu.
PL: Casemiro v Rice Defending Comparison.
Casemiro v Rice
Blocks 3-2
Tackles: 5-4
Clearances: 7-1
Clean Sheet: 1-1
Interception: 2-2
Headed Clearances: 3-1
Aerial Battle Won: 4-2
Passes Forward: 37-32
Passes Backwards: 14-15
Agenda.
Ilikuwa sajiri ya nani?Huyo Casemiro haikuwa sajili yake ilikuwa ni ya kutuliza hasira za mashabiki.
Ndio maana mwanzo hakumuamini alikuwa hamuanzishi
Naanza kukiri jamaa kashuka
Ile ishu aisee Partey angekuwa manjesta Leo hii asingekuwepo anachezaBenzema alivyokua na scandal yake Hadi timu ya taifa ilimyema, lakini Madrid walikua nae bega kwa bega. Hadi juzi Kati akiichezea timu yake ya taifa baada ya miaka mingi
Partey alivyokua likizo, Kuna demu alijilengesha alafu akataka achukue advantage ya kubakwa
Social medias zilichafuka
Bord ya arsenal ikamuambia wewe partey ndio uwe wa kwanza kuripot, fanya mazoezi, piga kazi
Hizo ni Mifano ya timu ambazo ina misingi ya kiume na zinaendeshwa kiume,
Greenwood angekua arsenal, tangu pre season angekua anapiga kazi na timu
nyumbuz wanawake wanasauti kuliko wanaume, club imekaa kikike sana hii
Nyumbu Wana vitu vingi vya kujifunza kutoka kwetu. Waache ujeuri tuIle ishu aisee Partey angekuwa manjesta Leo hii asingekuwepo anacheza
Arsenal waliimaliza kibishi Sana ,yule demu alijitokeza kwenye social media akidai alifanyiwa vitu vibaya Tena kwa ushahidi akidai upo
Greenwood kesi yake ilikuwa ngumu sana. Ushahidi wa picha na sauti ndiyo uliharibu kila kitu.Ile ishu aisee Partey angekuwa manjesta Leo hii asingekuwepo anacheza
Arsenal waliimaliza kibishi Sana ,yule demu alijitokeza kwenye social media akidai alifanyiwa vitu vibaya Tena kwa ushahidi akidai upo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Casemiro kachoka mkuu, toka pre season watu wamekuwa wakiongea Hilo
Angalau Eriksen alikuwa anamsaidia Sana ,sio mount ,kocha wenu asipofanya maamuz magumu ya kumpumzisha mount atakosa point hata kwa Forest
Mna Matominay ila sababu kocha wenu ameaminishwa MacFred ilikuwa ovyo Basi anamuweka nje
Hata Fred sio ovyo hivo ni vile kocha wenu binafsi naamini Hana uwezo wakumtoa mchezaji point A to B,
Yeye amekaririshwa Maguire ,Fred,Tominay, Sancho, ni wabaya ,lakin aliowasajili yeye Ni hawatofautian au wamewazidi viwango na aliowakuta ,alimuondoa Telles,akamsajili Malacia Tena awe first eleven kwa madai Shaw amechoka ,mpaka leo Malacia haijulikani Kama ni mchezaji wa manjesta
ameongeo point ila kuna sehemu ametumia unazi kama hapa kwa maguire huyo mchambuzi ametumia uingereza wa Maguire kumtetea.angalau angesema Maguire ruined ole gunner carrierMambo ambayo niliyaongea miezi kadhaa iliyopita kuhusu Erik 7 hag ,siku hizi naona wachambuzi wengi ndio wanayaona sasa
[emoji777] Hasnβt improved Sancho
[emoji777] Hasnβt improved Antony
[emoji777] Ruined Maguireβs #MUFC career
[emoji777] Disrespected De Gea
[emoji777] Canβt create effective midfield
[emoji777] Setting about ruining Mount
[emoji848] βIs Ten Hag actually any good?β
Adrian Durham lists incidents that donβt reflect well on Erik ten Hag