Kwa hio leo Onana imekua ni usajili bora?Casemiro
30+ age
€70m
Kwasasa kukimbia imekuwa mzigo kwake
Mpaka Sasa 7hag Ten egg sajili zake bora ni Martinez na Onana, kuzingatia umri , uwezo ,
Ametumia €400mView attachment 2724936
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitu msichokijua ilianza women nyumbu United kabla ya man nyumbu United
Hii timu misingi yake ni yakike
Pisi Kali zote huwaambii kitu na hii timu yao
Wenye timu walio wengi ndio wameamua na maboss wamewqsikiliza
Dadas Fc
Huyo Casemiro haikuwa sajili yake ilikuwa ni ya kutuliza hasira za mashabiki.Casemiro
30+ age
€70m
Kwasasa kukimbia imekuwa mzigo kwake
Mpaka Sasa 7hag Ten egg sajili zake bora ni Martinez na Onana, kuzingatia umri , uwezo ,
Ametumia €400mView attachment 2724936
Kwenye Instagram official A/c ya Manchester United, mpaka muda huu wameogopa kupost ishu ya Greenwood, ila kila wanacho post watu wamechafukwa comments zote ni mwendo wa kutema nyongo tu kuhusu Greenwood.Nadhani licha ya uzembe wake Richard Arnold ila hili suala la Greenwood limemuumiza that's why anataka kujiuzulu.
Last week habari zilisema amewaambia watu wa klabuni wajiandae kumpokea tena kijana pia katika barua yake jana kathibitisha kijana hakuwa na tatizo.
Huenda ni orders toka juu ambako wapo kibiashara zimebadili upepo.
I think wale wazee nao watakutana na mabango na protests za Glazers Out game ya jumamosi Old Trafford.
Mashabiki wamekuwa dissapointed na hili suala kuliko hata kipigo cha weekend
Sijui kwanini mchezaji wa Manchester United akizingua kidogo agenda inakuwa kubwa sana kwake.Casemiro
30+ age
€70m
Kwasasa kukimbia imekuwa mzigo kwake
Mpaka Sasa 7hag Ten egg sajili zake bora ni Martinez na Onana, kuzingatia umri , uwezo ,
Ametumia €400mView attachment 2724936
Yah haikuwa Sajili yakeHuyo Casemiro haikuwa sajili yake ilikuwa ni ya kutuliza hasira za mashabiki.
Ndio maana mwanzo hakumuamini alikuwa hamuanzishi
Naanza kukiri jamaa kashuka
Acha afanye kazi na anaowaamini ili tumhukumu vizuri,sio crime hiyo tunataka positive outcomes tuSajili za Erik seven egg ni connection
Mount - alimuhitaji acheze Eredivisie
Malacia - Eredivisie
Antony - Eredivisie
Onana - Eredivisie
Eriksen - Eredivisie
Lisandro - Eredivisie
Weghost -Eredivisie
Ten Hag - Eredivisie
Van der Gragg - Eredivisie
Mcclaren - Eredivisie
Potential
Amrabat - Eredivisie
Gravenberch - Eredivisie
All in 14 months
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwa hio leo Onana imekua ni usajili bora?
Baada ya kusajiliwa si ulikua unamponda na kuwadanganya watu humu kua Onana kwa Epl ni shati bora hata ya Dagaa (De gea)
Masingeli kua basi na msimamo ndugu yangu, mbona una yumbayumba kama vile uko kwenye mtumbwi?
Hapana mkuu tatizo huwa hunielewi , kuhusu Onana kwa Sajili za 7 hag a Dutch David Moyes, ni usajili wake Bora ukilinganisha na Sajili Kama za kina Malacia, casemiro ,n.kKwa hio leo Onana imekua ni usajili bora?
Baada ya kusajiliwa si ulikua unamponda na kuwadanganya watu humu kua Onana kwa Epl ni shati bora hata ya Dagaa (De gea)
Masingeli kua basi na msimamo ndugu yangu, mbona una yumbayumba kama vile uko kwenye mtumbwi?
Nilisemaga Sana hili nilishambuliwa SanaHuyo Casemiro haikuwa sajili yake ilikuwa ni ya kutuliza hasira za mashabiki.
Ndio maana mwanzo hakumuamini alikuwa hamuanzishi
Naanza kukiri jamaa kashuka
Casemiro kachoka mkuu, toka pre season watu wamekuwa wakiongea HiloSijui kwanini mchezaji wa Manchester United akizingua kidogo agenda inakuwa kubwa sana kwake.
Takwimu za rice vs casemiro msimu huu.
PL: Casemiro v Rice Defending Comparison.
Casemiro v Rice
Blocks 3-2
Tackles: 5-4
Clearances: 7-1
Clean Sheet: 1-1
Interception: 2-2
Headed Clearances: 3-1
Aerial Battle Won: 4-2
Passes Forward: 37-32
Passes Backwards: 14-15
Agenda.
Vipi akili imeanza kukaa sawa? au hutaki kuwa pro Mourinho kuongelea madhaifu ya timu[emoji23]Chama limekuwa la kiseng.e sana hili..
Hakuna hata mvuto tena kusubiria our next matchday as it was..
Unateseka sana kwenye huu uzi.Benzema alivyokua na scandal yake Hadi timu ya taifa ilimyema, lakini Madrid walikua nae bega kwa bega. Hadi juzi Kati akiichezea timu yake ya taifa baada ya miaka mingi
Partey alivyokua likizo, Kuna demu alijilengesha alafu akataka achukue advantage ya kubakwa
Social medias zilichafuka
Bord ya arsenal ikamuambia wewe partey ndio uwe wa kwanza kuripot, fanya mazoezi, piga kazi
Hizo ni Mifano ya timu ambazo ina misingi ya kiume na zinaendeshwa kiume,
Greenwood angekua arsenal, tangu pre season angekua anapiga kazi na timu
nyumbuz wanawake wanasauti kuliko wanaume, club imekaa kikike sana hii