Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wao wanadhani ishu ni hela kumbe wachezaji,nilitegemea hili dirisha tutasajili wachezaji 6-7 wa kwenda kuingia first 11 sasa ni wawili tu ambao hawawezi badilisha kitu tena kipa ni kama replacement tu ishu ni maeneo ya mbele ndio maana tunaona hakuna kilichobadilika.

Tungonje dirisha la usajili lifingwe ndio tutapata update ya uuzwaji.

Ila nina mashaka sana bila shaka huenda hawajapokea mishahara zaid ya mwezi sio kwa kucheza huku kama wana mawe wamejaza

Naziwazia game za ugenini ambayo hawazimudu last season hatukuwa vibaya sana ila ilikuwa balaa sasa huu wa kuungaunga si ndio mateso

Njia pekee ni kubadili plan tu Casemiro anahitaji pacha pale kati ya kucheza nae ila sio Mount ambaye anaenjoy kama 10 na 7
 
Huyo CF kila mpira atakuwa anapewa yeye tu, hiyo ni dhana potofu

Chelsea ya Conte ilionekana inahitaji a CF tu iwe timu isiyofungika , akaletwa lukaku kwaยฃ97.5m , unajua kilichotokea
Tatizo lako unajifanya unajua mpira sana, unakujaga na uchambuzi wako hapa uchwara mara build up mara kupress wakati timu yako yenyewe ina vijana unmature, hivi unaweza fananisha uchezaji wa Lukaku na Hidjlund? Lukaku hata kutuliza mpira hawezi, mbio na mikimbio mizuri hana, wakati Hodjlund anauwezo wa kucontrol mpira kupiga chenga, kupress na kufanga mwenyewe kitu ambacho kitawapa tabu sana mabeki pinzan kuconcetrate naye huku mawinga wakipata relief na hapo ndipo ubora wa winga kama Sancho na Antony utaonekana.
 
Huyo Hojlund unavyompamba hapa utadhan ushamuona hata mech moja akicheza manjesta

Hata Anthony tuliwaambia mkabisha Sana


Huyo Hojlund ni mchezaji wakawaida Sana Hana tofaut na hao wanaooanza


Subiri utaanza kumrushia matusi


Yaan unaweka matumaini makubwa kwa CF aliyefunga Goli 9 mech 32,

Punguza Expectation ,usije kuishia kutoa matusi

Narudia Hojlund ni mchezaji wakawaida Sana Hana tofauti kubwa na kina martial
 
Nimesoma comment nyingi humu nimegundua kuna mashabiki wa ajabu ajabu na hawajui au hawafahamu mpira au hawajui wanataka nini. Hivi unawezaje kulaumu kocha kwa mpira tuliocheza leo?

Tumeingia kwenye box mara nyingi na kuliko Spurs , tumecreate clear chance nyingi kuliko Spurs, kipa kafikisha mira mingi ya hatari mbele forward zetu wameshindwa kutumia, tumepata clear penalt hatukupewa hii ni bahati mbaya kwetu.

Kocha kafanya kazi kubwa ya kuijenga timu kuanzia nyuma na kimchezo kwa sasa tunacheza vizuri hadi kwenye kiungo. Tatizo limebaki mbele hasa Rashford na Bruno leo ndio wameiangusha timu kwa kukosa nafasi za wazi huku Rashford ndio akiongoza kwa kujikanyaga kanyaga kila anapopewa mpira, na huu umekuwa ugonjwa wake mara tu anapopewa mkataba mpya, msimu uliopita kaotea otea watu tukadhani kashamature ila Ferguson akasema tunahitaji streiker mpya baadhi ya mashabiki mihemko wakamshanga.

Siku steiker Hodjlund akianza ndio tutapata picha halisi ya wapi timu inaelekea ila napata wasiwasi kama akianza kucheza na winger ya akina Rashford tutamuona kama Lukaku tu. Rashford, Martial na Lindgard hawa ndio waliomuandoa Morinho, na Ole na kila alipoletwa streiker mpya walijaribu kumkwamisha aonekane hafai, kuanzia Lukaku, Igalo, Cavan, na Christian Ronaldo. Kifupi Rashford, Martial ni watu wa kuanzia benchi nafasi wapewe Sancho, Garnacho, Pelistri na Antony la sivyo huyu kocha siku zake united zitayeku mithili ya barafu kwenye maji ya moto.
 
Kweli wahuni sio watu.
Erick Shigongo tunakukumbusha tu hicho kiti unachokikalia walikishindwa kina Ralf Rangnick, Ole Gunnar Solskjaer, Jose Mourinho, Louis van Gaal na David Moyes. View attachment 2722091View attachment 2722092
Katika wote hao a Dutch David Moyes Erik 7 hag amepewa nguvu kubwa na pesa kubwa ndan ya madirisha makubwa mawili

Kama kawaida yenu mtaanza kuwalaumu Grazzer ,Hawa ndio wamemtuma asajili wastaafu kina mount ,ndiye kamtuma akasajili CF wa goli 9 mech 32 kwa โ‚ฌ85m


Grazzer family wanahusika vipi na uchezaji wa Pira makande
 
EtH asipobadilika muda wake unakaribia kuisha United tena wakija wamiliki wapya wanaweza kutoa watu wote kwenye bench la ufundi wakaleta watu wapya.

EtH anatakiwa atuonyeshe uwezo wake, baada ya kutumia ยฃ400m ndiyo tunacheza upuuzi huu!?

Kocha ni mtu wa kwanza nitamlaumu, kwenye team selection ni kama kuna upendeleo. Timu iliyonyanyaswa na Wolves ndiyo hiyohiyo anaipeleka kwa Spurs.

Ten Hag ana ego na ndiyo itakayommaliza. Ana-force mambo ambayo yanaigharimu timu. Midfield yetu haipo balanced, nilitegemea mechi hii abadilike kwa kuanza na pivot ya Case na Scott, kule mbele Rashford na Antony wasianze kabisa. Awape nafasi Sancho, Pellistri na Mount.

EtH ni kiburi na jeuri sana na watu wa aina yake mwisho wao huwa ni mmoja tu.

Mimi nakaa pembeni kwanza ila EtH kaanza kunipa mashaka na uwezo wake.
 
Natamani EPL nako kungekuwa na "Ultras". Baada ya performance ya hizi mechi 2 kocha alipaswa kutupa maelezo.

Mtu unasimama kabisa kwenye sideline unashindwa kuona mapungufu ya timu yako. Kila mechi unampanga Rashford na mpuuzi mwenzie Antony. ๐Ÿ˜ 
 
Sioni tofauti ya casemiro na sawadogo amekua mzito kama Ngamia
Shots on goal unajua kaweka ngapi yeye peke yake mechi ya jana ukilinganisha na mizigo mingine?
 
Umeongea vyema, tatizo la kocha ni kumchezesha Rashford huwa anamakosakosa ya magoli, anakabia macho, mchoyo wa pasi . Kila mpira anapoteza( kocha akimuendekeza December hatoboi)
 
Kosa kubwa la huyu kocha ni kumuamini Rashford. Rashford hata akicheza winga huwa hatoi pass Kwa cf
 
Mkuu umemaanisha kabisa kusema sasa tunacheza vizuri hadi kwenye kiungo? Umetizama hizi game 2? Bwana mdogo Bissouma jana kaonea sana pale kiungo, wolves ndio usiseme kabisa.

Team naona haijakamilika bado, tunahitaji kusajili ila kubwa zaidi kule juu pawekwe watu wa mpira tu, Fletcher na mwenzie yule sina hakika kama wataleta mabadiliko yoyote ya kiufundi na uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ