Manchester United (Red Devils) | Special Thread

tuchambulie sasa hivi vichapo tunachezea sababu gani ? martial si alingia sub ? scot alikuwa bench na kakaake maguire na striker si rashford ? kujitia ujuaji tu huna lolote
 
13 days to go kiungo kimechoka mechi ya kwanza tu,RB kunatia mashaka, frontline Hojlund kaanza na majeruhi lakini Man Utd yangu haijitikisi wala nini.
Ina maana tumemaliza kusajili dirisha hili au mimi ndio napitwa na taarifa za timu yetu?
Mkuu sitanii yani ujue kila nikitaka kulala na nikiamka kitu kingine ambacho ninaongeza kwenye maombi yangu ni kumuomba mwenyezi MUNGU atunusuru na hii Dhahma iliyopo mbele yetu.
 
Kweli wahuni sio watu.
Erick Shigongo tunakukumbusha tu hicho kiti unachokikalia walikishindwa kina Ralf Rangnick, Ole Gunnar Solskjaer, Jose Mourinho, Louis van Gaal na David Moyes.
 
Mkuu sitanii yani ujue kila nikitaka kulala na nikiamka kitu kingine ambacho ninaongeza kwenye maombi yangu ni kumuomba mwenyezi MUNGU atunusuru na hii Dhahma iliyopo mbele yetu.
Huu umekuwa ugonjwa wa United toka enzi baada ya Fergie. Inapomalizia msimu sipo inapoanzia,huwa inarudi nyuma kiubora. Msimu huu nahisi utakuwa mbaya zaidi kimatokeo kama hata Spurs tumemshindwa leo.
 
Timuatimua nayo si nzuri acha tumpe na huu msimu ajirathmini mara ya mwisho.

Na United sio kocha tu anayepaswa kuangaliwa kwa ukaribu inatakiwa kufumuliwa upya kama alivyosemaga CR7 na hii inaanza na Glazers kutoka.

Then waletwe watu wa mpira wasaidiane na kocha kutafuta watu sahihi then tufanye kama Chelsea tunasajili hata wachezaji 12 ambao wanakuwa na uhakika wa kuanza first 11 kisha zile deadwoods zinazokataa kusepa zitolewe kilazima.

Chini ya Glazers hata baada ya Ten Hag wanaweza kuja makocha wengine nao tukawaona hawafai.
 
Manjesta ikicheza dunia nzima inakuwa n furaha ..wee mwenyewe ci unaona😂😂😂😂
 
Glazer na bodi yote wanatakiwa waondoke,
Hapo zikibaki siku 2 kabla dirisha kufungwa Glazer wanaweka mezani £100m za usajili ili kuwanyamazisha mshabiki wanaotaka ang'oke.
Hawa Glazzers wana kauCCM flani hapo Utd, hawakubali kamwe kuachia timu kwa vipande vya makaratasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…