Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rachel Riley will desert ManUtd if they bring Mason greenwood back

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
 
Tuachie timu yetu kaka
 
Sofyan Amrabat – Β£25m
Amadou Onana – Β£50m
Ryan Gravenberch – Β£23m

Who should #mufc sign?

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
 
DahhhπŸ˜”
 
Ryan Gravenberch, Redondo, Enzo Le Fee.
 
View attachment 2720843

LFC have completed the signing of Wataru Endo from Stuttgart for around Β£16.2m.
The Japan international has signed a four-year contract.
He will wear the No 3 shirt.
Bila shaka Carragher atakuwa na maoni sawa na aliyotoa kwa Casemiro.

Guardiola tangu amehamia Man City wachezaji wengi aliosajili ni 27 and above.

Kuna siri gani kwa Pep kusajili wachezaji matured hivyo ?
 
Wamchukue tu huyu
 
Kwani hv wewe unaumia sana eeh man u wanavyotoa hela ndefu ndefu tu??
Maana hakuna anaechangia pale man u zaidi ya kelele tu!! Mm napenda waendelee tu ivo ivo maana hata hzo pesa za usajili hazifikii glazers wanazochota
 
Bila shaka Carragher atakuwa na maoni sawa na aliyotoa kwa Casemiro.

Guardiola tangu amehamia Man City wachezaji wengi aliosajili ni 27 and above.

Kuna siri gani kwa Pep kusajili wachezaji matured hivyo ?

β€œMatured” there is the answer
 
Huyu mdada Rachel Riley ana impact gani akiacha kuisapoti United hadi anapewa promo kubwa hivi?
We need Greenwood back to the team.
 
13 days to go kiungo kimechoka mechi ya kwanza tu,RB kunatia mashaka, frontline Hojlund kaanza na majeruhi lakini Man Utd yangu haijitikisi wala nini.
Ina maana tumemaliza kusajili dirisha hili au mimi ndio napitwa na taarifa za timu yetu?
 
Sio kwamba hawasajili,ni wanatakiwa kuuza kwanza wachezajii ndio wasajili kitu ambacho ni kigumu deadwoods wetu wote hawauziki deals zao zimefeli,Fred ni kama zali tu Mbrazil anataka kusakata kabumbu ndio maana kakubali kusepa.
Hao wengine wapo tayari wale mishahara minono hata wakiwa benchi bila jasho.

Haya matatizo tumejitengenezea wenyewe
 
Baadhi ya Wafanyakazi wa klabu ya Manchester United wametishia kuacha kazi huku wengine wakifikiria kuanzisha mgomo ikiwa mshambuliaji Mason Greenwood atarejeshwa kwenye Kikosi cha kwanza.

Haya yanajiri baada ya Mashetani hao Wekundu kutangaza kuwa kwenye mchakato kuandaa mpango wa kumrejesha Greenwood kwenye kikosi cha kwanza.

Greenwood (21) raia wa England ambaye amekuwa akionekana akifanya mazoezi binafsi ili kujiweka fiti alishtakiwa kwa kujaribu kubaka, kushambulia na kutoa vitisho vya kuua kabla ya Mahakama nchini Uingereza kukutupilia mbali kesi hiyo kwa kukosa ushahidi.
 
Biggest team is the world is playing today and whole world is happy

Ni kwa mara nyingine tena wazee wa ngwasuma tunashuka siku ya leo kugawa burudani kabambe Sana majirani wote mnakaribishwa sana.

My prediction

Tottenham 1 vs Manchester United 3

1.30

Tottenham Hotspurs

Tottenham mnacho cheza nacho hamkijui hakika kitawaramba leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…