Charlz ze son conscious
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 563
- 856
Talent ID:katika miaka yangu yote ya kushabikia soka hili neno sijawahi kutana nalo likizungumziwa na ninafuatilia sana mpira na kwa mara ya kwanza naliona kwa kocha wa United na sikuona huko nyuma kwa makocha matapeli wote inachekesha sanaTaratibu maji yanaanza jitenga na mafuta
Niliyoyasema miezi kadhaa kuhusu 7hag taratibu Yanaanza kuonekana kwa mbali
Erik ten hag Mfukoni mwa Gary O' Neil |
Anasema
Mtaumia kusema hivi, lakini Chelsea wanaonekana ni timu bora uwanjani kuliko United na ni miezi miwili TU tangu Pochettino apewe timu... Wakati huo huo 10hag ni miaka miwili na United hii inayoonekana kuwa ya Hovyo kabisa.
Nimeanza kuwa na wasiwasi kuhusu juu y Talent ID ya 10 hag.. Msimu uliopita, United walikuwa na tatizo kubwa la kushindwa kuutawala mchezo, hawana kiungo ambaye ana uwezo wa kudhibiti kasi ya mchezo, ( Control the tempo)
Msimu mpya lakini tatizo bado ni lile lile, walimsajili Meson Mount, ni usajili mzuri, lakini kama mchezaji TU wakikosi (Squad player) lakini kumchezesha pamoja na Bruno na Casemiro kunaonekana hakutofanikiwa wote watatu hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kuutawala mchezo "
@hamis77 Njoo umuone mdogo wako hukuPaparazzi wetu kazini View attachment 2719363
Uzuri ni kuwa kasajili striker, Rashford atatokea pembeni watashindana na Sancho na Garnacho, Martial nadhani atakuwa back up striker labda itokee kaumia maana nae trip garage trip kazi.United huwa haichezi mpira mzuri tangu enzi za Babu ila fighting spirit tu ndio ulikuwa msingi wa timu,Arsenal ile ya Wenger kuanzia 2004 hadi anastaafu ilikuwa inapiga mpira mzuri kushinda United ila ikatoka kapa.
Hicho kitu now kimekosekana hasa kwa washambuliaji wote wamelegea kama Rashford,Martial na Sancho wanacheza kifaza sana,Antony anapambana kwa jasho lote ila tu sio mchezaji wa kutisha hana maajabu.
Katika kitu ambacho nimekuwa disappointed na ETH ni kukubali kumpa mkataba mrefu Rashford sasa atageuka kuwa nightmare kwake pamoja na makocha wataofuata kuanzia mwakani chezaji halijui hata kujituma linachojua kuja kutafuta huruma eti sijui maumivu ya bega na mgongo,simuoni akivuka goli 15 za ligi msimu huu kwa kumuangalia tangu Pre-season.
Ok ila Rashford simuoni akifanya vizuri huu msimu but atumie wakati wake naamini siku moja naye atamchosha kocha na hivi ni mchezaji wa academy hajasajiliwa kwa big money kocha kumsugulisha benchi haitakuwa ngumu.Uzuri ni kuwa kasajili striker, Rashford atatokea pembeni watashindana na Sancho na Garnacho, Martial nadhani atakuwa back up striker labda itokee kaumia maana nae trip garage trip kazi.
Kitu kimoja namkubali ETH ana maamuzi, angalia Maguire, ili ucheze pambana sio kutia huruma, ni process ngoja tuone.
Kaka kukuta watoto wa Kiingereza wanakaza kama kizazi cha kina Ferdinand, Lampard, J. Cole, Kean au hata Gary Cahill ni wachache sana kwa sasaOk ila Rashford simuoni akifanya vizuri huu msimu but atumie wakati wake naamini siku moja naye atamchosha kocha na hivi ni mchezaji wa academy hajasajiliwa kwa big money kocha kumsugulisha benchi haitakuwa ngumu.
Tatizo Umeanza shabikia mpira ukubwani ilo kombe wame change jina tu ni sawa na ligi ya England ilikuwa ni championship zamani saizi ni Barclays.
17 mbona tayariRasmus Hรธjlund hajapewa namba mpaka sasa kuna shida gani ?
cc Mzanzibari
Liverpool Ana epl 1Tatizo Umeanza shabikia mpira ukubwani ilo kombe wame change jina tu ni sawa na ligi ya England ilikuwa ni championship zamani saizi ni Barclays.
Walibadirisha jina tu kutoka uefa cup mpka uefa super cup Kwaiyo Unataka kusema Liverpool ana kombe la ligi moja ndo unacho maanisha wewe.
Ingia kwenye page yao pitia utapata majibu kijana mpira wa ukubwani ni shida.View attachment 2719731
Hajapewa namba nimeangalia kwenye web ya timu hata utambulisho wake hakuwa na namba.17 mbona tayari
Wengine wana namba ila yeye hana namba17 mbona tayari
QJamie Carragher -
"Bei za Rice na Caicedo ni bargain. Pia ni dili nzuri.
Ushahidi wa hilo ni pauni milioni 70 ambazo Manchester United walilipa msimu uliopita kwa ajili ya Casemiro.
Mbrazil huyo ataishia kuigharimu United zaidi ya Arsenal na Chelsea walivyolipa Rice na Caicedo. ."
"Caicedo na Rice ni mifano ya kufikiria mbele - kuokoa pesa kwa miaka sita au saba ijayo ambapo watachukua jukumu lao."
"Sikuwahi kuamini kwamba Casemiro angekuwa na thamani hiyo ya pesa. Sio kwa sababu kuna shaka yoyote na uwezo wake amekuwa mchezaji wa kiwango cha juu . Lakini kwa sababu yuko katika hatua ya mwisho ya kazi yake ambapo hawezi kulipa kikamilifu ada kubwa ya United.
Ni panic buy alipojiunga mwaka mmoja uliopita, alinunuliwa mara tu baada ya kushindwa kumfuatilia Frenki de Jong kutoka Barcelona"
"Casemiro alikuwa bora kama mtu yeyote duniani wakati huo. Sasa kuna hatari United wanaweza kuwa na anasa ya gharama kubwa wasiyoweza kumudu.
Hawatakuwa washindani wa mataji hadi wampate Rodri, Caicedo au Rice wao wenyewe."
(@YahooSports)
Jamie Carragher -