Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Talent ID:katika miaka yangu yote ya kushabikia soka hili neno sijawahi kutana nalo likizungumziwa na ninafuatilia sana mpira na kwa mara ya kwanza naliona kwa kocha wa United na sikuona huko nyuma kwa makocha matapeli wote inachekesha sana[emoji1316][emoji23][emoji23]
I know kila kitu cha United lazima kitafutiwe kasoro na watu wazembe[emoji23]

Halafu sasa mzee huoni Chelsea inavyosajili for fun?

Wao wameuza wachezaji ndio maana wanaingiza wachezaji wengine huku sisi deadwoods wetu hawauziki na kabla ya kupata replacement zao lazima wauzwe kitu ambacho kigumu sana.

Wanasajili wachezaji hata 8-10 kwa dirisha tena ila sisi tukijikamamua ni 3-5.hapo kuna wale wa deadline day kuwaridhisha mashabiki.

Chelsea wana mmiliki ambitious sana na pia kuna watu wanaomsaidia kocha hiyo sekta ndio maana wanaingiza tu watu na washamfanyia umafia Liverpool.

Huku kwetu tuna Arnold na Murtough mchezaji mmoja anafukuziwa miezi hata 3-4,tatizo lipo kwa uongozi hebu siku moja ETH apate DOF na Technical Directors wanaojua soka uone kama hizo ngonjera za hiyo mnayoita Talent Id zitakuwepo.
Mbona akiwa Ajax aliingiza watu wazuri ama ndio yale niliyosema juu hapo kuwa kwa United hata Pep anaweza kuonekana tapeli.
 
Ukweli mchungu ni kuwa deadwoods zetu haziuziki. Mtu kama Bailly team inahaha kumuuza na deal imefeli, Maguire off, Donny inaenda inarudi na wengineo.


Naona Greenwwod akirudi, ataongeza kitu naimani si haba huku tukiendelea kusubiri muda bado upo upo kiasi
 
Uzuri ni kuwa kasajili striker, Rashford atatokea pembeni watashindana na Sancho na Garnacho, Martial nadhani atakuwa back up striker labda itokee kaumia maana nae trip garage trip kazi.

Kitu kimoja namkubali ETH ana maamuzi, angalia Maguire, ili ucheze pambana sio kutia huruma, ni process ngoja tuone.
 
🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Man United release statement to clarify Mason Greenwood situation 🔴⚠️

“Following the dropping of all charges against Mason Greenwood in February 2023, Manchester United has conducted a thorough investigation into the allegations made against him”.

“This has drawn on extensive evidence and context not in the public domain, and we have heard from numerous people with direct involvement or knowledge of the case”.

“Throughout this process, the welfare and perspective of the alleged victim has been central to the club’s inquiries, and we respect her right to lifelong anonymity”.

“We also have responsibilities to Mason as an employee, as a young person who has been with the club since the age of seven, and as a new father with a partner”.

“The fact-finding phase of our investigation is now complete, and we are in the final stages of making a decision on Mason’s future”.

“Contrary to media speculation, that decision has not yet been made and is currently the subject of intensive internal deliberation. Responsibility ultimately rests with the Chief Executive Officer”.

“Once made, the decision will be communicated and explained to the club’s internal and external stakeholders”.

“This has been a difficult case for everyone associated with Manchester United, and we understand the strong opinions it has provoked based on the partial evidence in the public domain. We ask for patience as we work through the final stages of this carefully considered process”
 

Attachments

  • FB_IMG_16922544794589863.jpg
    53.1 KB · Views: 2
Ok ila Rashford simuoni akifanya vizuri huu msimu but atumie wakati wake naamini siku moja naye atamchosha kocha na hivi ni mchezaji wa academy hajasajiliwa kwa big money kocha kumsugulisha benchi haitakuwa ngumu.
 
Ok ila Rashford simuoni akifanya vizuri huu msimu but atumie wakati wake naamini siku moja naye atamchosha kocha na hivi ni mchezaji wa academy hajasajiliwa kwa big money kocha kumsugulisha benchi haitakuwa ngumu.
Kaka kukuta watoto wa Kiingereza wanakaza kama kizazi cha kina Ferdinand, Lampard, J. Cole, Kean au hata Gary Cahill ni wachache sana kwa sasa

Rashford ana kila kitu mzee, ila tu ana udwanzi wa Kiingereza ule.
 
Nioneshe hili kombe ,nikuoneshe mbuzi anayezaa nyumbu [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2719547
Tatizo Umeanza shabikia mpira ukubwani ilo kombe wame change jina tu ni sawa na ligi ya England ilikuwa ni championship zamani saizi ni Barclays.

Walibadirisha jina tu kutoka uefa cup mpka uefa super cup Kwaiyo Unataka kusema Liverpool ana kombe la ligi moja ndo unacho maanisha wewe.

Ingia kwenye page yao pitia utapata majibu kijana mpira wa ukubwani ni shida.
 
Liverpool Ana epl 1

Na United haijawihi kushinda uefa super cup ,..

Hizo cup za before Jesus Christ pekeken huko museums [emoji3]
 
Jamie Carragher -

"Bei za Rice na Caicedo ni bargain. Pia ni dili nzuri.

Ushahidi wa hilo ni pauni milioni 70 ambazo Manchester United walilipa msimu uliopita kwa ajili ya Casemiro.

Mbrazil huyo ataishia kuigharimu United zaidi ya Arsenal na Chelsea walivyolipa Rice na Caicedo. ."

"Caicedo na Rice ni mifano ya kufikiria mbele - kuokoa pesa kwa miaka sita au saba ijayo ambapo watachukua jukumu lao."

"Sikuwahi kuamini kwamba Casemiro angekuwa na thamani hiyo ya pesa. Sio kwa sababu kuna shaka yoyote na uwezo wake amekuwa mchezaji wa kiwango cha juu . Lakini kwa sababu yuko katika hatua ya mwisho ya kazi yake ambapo hawezi kulipa kikamilifu ada kubwa ya United.

Ni panic buy alipojiunga mwaka mmoja uliopita, alinunuliwa mara tu baada ya kushindwa kumfuatilia Frenki de Jong kutoka Barcelona"

"Casemiro alikuwa bora kama mtu yeyote duniani wakati huo. Sasa kuna hatari United wanaweza kuwa na anasa ya gharama kubwa wasiyoweza kumudu.

Hawatakuwa washindani wa mataji hadi wampate Rodri, Caicedo au Rice wao wenyewe."

(@YahooSports)
 
Q

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kuongea haya anayosema Carragher ,kina flano na Genge lake wakaniita Mc masingeli

Ten hag anataka kucheza a total football ile ya kidutch lakini sajili zake zinatia mashaka Sana

Alitoa €100m kwa Anthony Santos

Alitoa €70m kwa Casemiro ambaye hawez kumtumia zaidi ya misimu miwili

Ametoa €85m kwa CF ana goli 9 tu huku kukiwa na hofu ya kuwa injury prone

Ametoa €65m kwa mount ambaye it's like mstaafu anavyocheza


 
Rachel Riley will desert ManUtd if they bring Mason greenwood back


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…