Mimi AWB hua namkubali sana tu kuliko hata Dalot hua natamani siku moja achezeshwe hata RCB ila tatizo lake jamaa ni pass, hua anafanya kazi kubwa halafu anakuja kuharibu kwenye kutoa pasi.
Casemiro kama ndo atacheza kama jana mechi zijazo basi tutaisoma namba..
Hivi Magwaya anataka tumtoe kwa greda au vipi??..mtu ni 4th choice na bado anahitajika na Westham na anazingua..bwege kweli huyu.
AWB alikuwa second best baada ya OnanaVarane labda kwa ajili ya goli tu alilofunga ila huyo AWB nje ya tackling mipasi yake mingi alikua anawapasia wachezaji wa Wolves.
SureIla wakati mwengine mnamuonea tu AWB anapambana sana angekaa pale uyobdalot wenu jana ingekua story nyengine
Hakuna team yenye fullback ya kulia ambayo hana mapungufu
So appreciate what u have kaka
Passing accuracy ya Bissaka ni nzuri kuliko DalotMimi AWB hua namkubali sana tu kuliko hata Dalot hua natamani siku moja achezeshwe hata RCB ila tatizo lake jamaa ni pass, hua anafanya kazi kubwa halafu anakuja kuharibu kwenye kutoa pasi.
Ulicheki mpira gani?Varane labda kwa ajili ya goli tu alilofunga ila huyo AWB nje ya tackling mipasi yake mingi alikua anawapasia wachezaji wa Wolves.
Man United v Liverpool 2022 ile tuliyopigwa tano bila ndani ya first halfMan UTD vs Wolves jana kwangu ilikuwa the worst ever performance toka nimeanza kushabikia hii timu 1999
Dalot ni mweupe sana..Mimi AWB hua namkubali sana tu kuliko hata Dalot hua natamani siku moja achezeshwe hata RCB ila tatizo lake jamaa ni pass, hua anafanya kazi kubwa halafu anakuja kuharibu kwenye kutoa pasi.
Kazi tunayo tuliyataka wenyeweNawaacha na hii
Harry Maguire will not be joining West Ham. Man Utd would have needed to replace + short on time. Ten Hag sees 30yo as important squad member & happy for him to fight for place. Defender did not agreed terms with #WHUFC & settled at #MUFC @TheAthleticFC Maguire will not be joining West Ham
Nimecheka kwa sauti kama home theater inayocheua volume ileeee....Njooni mbebe takataka yenu kenge nyie.
Laana ya kutuzulumu pesa yetu kwa hili li Freemason lazima iwatafune wajaa laana nyie.
Kwa huo utapeli wenu mliotufanyia mpaka kufika october hizo wodi za Mloganzila hapo darajani lazima zijae kukulela nyie.
Kwa hiyo Mount ni paparazzi mkuuu ??Mount piga kazi tuliyo kutuma usisikilize porojo za hawa NYUMBU, kumbuka lengo ni kudhoofisha NYUMBU FC.
Hahaha unaomba msamahaDuuuh, tumekosa sisi, mtusamehe sisi wana "The blues" hatutarudia tena kuwauzia galasa kama Mount
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app