Manchester United (Red Devils) | Special Thread

[emoji408] Andre Onana’s game by numbers vs. Wolves:

49 touches
67% pass accuracy
6 shots faced
6 saves
5 saves from close range
4 long balls completed
3/4 duels won
1/1 sweep
0 goals conceded

Impressive Debut. [emoji1062]

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨[emoji2522]
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™[emoji837]
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™[emoji469]
#π™‚π™‚π™ˆπ™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Benjamin Pavard, showing how much he wants Manchester United move under Varane’s post… [emoji837][emoji102]

Pavard, pushing with Bayern to make the deal happen.


#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨[emoji2522]
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™[emoji837]
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™[emoji469]
#π™‚π™‚π™ˆπ™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Tulikua na midfielders ambao hawawezi kutunza mpira in Bruno na Case, Bado kocha kaenda kuongeza Mount tena ambae hawezi kama wenzie.

Sijui Ten hag anatengeneza nini, ngoja tuone.
 
Uchochez?
 
Uchochez?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sio uchochezi Mkuu, kule kwenu mmemgeuza Mc Masingeli kua ndio Alfa na Omega[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kule mtu haruhusiwi kumpinga Masingeli wala Masterclass, ukitaka ulione jukwaa chungu we nenda toe to toe na Masingile uone misukule itakavyo kushambulia.
Masingeli sasa hivi ameshakua nae dikteta uchwara anapiga marufuku mpaka watu wasimqoute[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila akija Man Utd lazima utampondea, Masingeli una maana basi wewe[emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana ase, Kama unanifatilia huyo kocha ni moja ya walimu naaakubali ,nilimsema Sana wakati anafika ,sema wengi hamumjui, huyo kocha ana mbinu zakumpiga kocha yoyote unayemjua wewe,

Klopp aliwahi pigwa game 2 kwa Mpira mwingi sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila akija Man Utd lazima utampondea, Masingeli una maana basi wewe[emoji16][emoji16][emoji16]
Masingeli inasemekana mdingi wake ni mshabiki wa manchester united.

Siku man utd ikipata ushindi mnono alikuwa anapewa buku jero kwa ajili ya kutumia shuleni.

Akija mwambieni nimeondoka
 
Masingeli inasemekana mdingi wake ni mshabiki wa manchester united.

Siku man utd ikipata ushindi mnono alikuwa anapewa buku jero kwa ajili ya kutumia shuleni.

Akija mwambieni nimeondoka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We fala umenichekesha kinyama.
 
Nimuite XyZ?

Kule watu wanasonoma ,imagine tunashinda Mpira mwingi ,wanalalamika ,vipi tungecheza Kama nyie Jana ,
 
Mamluki kule si ndio rafiki zako , wanasema wamehama timu lakin Arsenal ikishinda wanalalamika ikifungwa wanalalamika,na mshehereshaji ni wewe
 
Hapana ase, Kama unanifatilia huyo kocha ni moja ya walimu naaakubali ,nilimsema Sana wakati anafika ,sema wengi hamumjui, huyo kocha ana mbinu zakumpiga kocha yoyote unayemjua wewe,

Klopp aliwahi pigwa game 2 kwa Mpira mwingi sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huna maana kabisa wewe, ulikua unatupondea De gea wetu mpaka ukafanya baadhi ya watu nao wakawa wanamtolea shombo humu, eti baada ya kuondoka ukawa unajifanya kutusikitikia kua tumepoteza bonge la kipa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Amekuja midfilder goal keeper (MG) nae eti ukaanza kuleta maneno yako ya kwenye kanga Arseyau we[emoji1][emoji1][emoji1]
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…...mashabiki mnajifanya mnajua sana kuliko kocha....alichofanya ndo alichotumwa kukifanya na kocha....mpeni nafasi msela....mfumo ukimkubali mtaelewa ten Hag alichokiona kwake mpk akamnunua
 
Kwa performance ile ya Jana mmfiche Nini, mmcheza na wolves kocha wao ana wiki moja tu
 
De gea mmoja ni sawa na Onana kumi...mnabisha mtaona wiki ijayo na Spurs....
 
Wewe hata huoni maandishi yake, muda wote ni man utd.

Huo ni upendo aliorothishwa na mzee wake....
Mzee khalfani joseph
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kweli kabisa mkuu, leo ndio umenisanua nilikua silijui hilo.
Mzee wake itakua aliwawekea ratiba kabisa home kwao siku Man Utd ikishinda kesho yake wanakula wali kuku.
Kwa namna hio Masingeli lazima tu aipende Utd, hata kwenye betting hua Man Utd anaiwekea steki kubwa.
 
Jana man u imeshinda ila mashabiki wake hawana furaha na hili tatizo nililiona juzi kwenye matokeo ya game ya arsenal na norttingam forest.

Ushauri.
Kwanza mashabiki tuache kwenda uwanjani na matokeo yetu na pia tuache kwenda uwanjani na performance zetu tunazozitarajia.
Tukiweka ushabiki pembeni kwa epl tofauti kati ya timu zinazoitwa big 6 na zinazoitwa midtable timu ni SPENDING na LUXURIES.

Tukija kwa upande wa soka lenyewe on pitch the difference is narrow than you can imagine. Big 6 team wanajua kuspend big money ili kupata quality wakati hizo tunazoziita midtable team zinajua kufanya proper scouting ya kupata talents kwa affordable price.Ukija uwanjani unakutana na mchezaji wa bei ya kawaida wakati ana quality ya juu mnoo.

Nawatahadharisha yeyote anayejiita giant ajiandae kisaikolojia anapokutana na hawa wapuuzi.britton and holves,aston villa,west ham na brentford.Newcastle analazimisha ije big 7[emoji23][emoji23].

Hoja yangu ni kwamba matokeo ndiyo kitu cha msingi baada ya dakika 90.haijalishi umeyapata kwa njia gani ila ukiyapata shukuru maana ni hardly found.

Kuna swalla la makocha hapa.EPL kuna kocha mmoja tu ambaye ana dunia yake and that is PEP.mjinga anakera. Ana hela,anajua kusajili,ana matajiri wenye hela na mwisho ni tactical genius.atasumbua mno labda ahame. Kwa makocha waliobaki uwezo wao hauna tofauti ya mbingu na ardhi so its normal ukipigwa na bunley.unaweza muona kocha wako ni bora kumbe resources ndo zinamfanya awe bora.

Wakuu furahieni ushindi bila kushughulishwa sana na mazingira ya ushindi maana kuna muda hata huo ushindi hutauona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…