Huyu kocha kiazi sana na sijui alimtaka wanini?Mount tumepigwa aiseee ile hela tungewekeza kwingine
Huyu kocha kiazi sana na sijui alimtaka wanini?Mount tumepigwa aiseee ile hela tungewekeza kwingine
Kuna wachezaji kibao wazuri walikuwa free mpaka nikawa najiuliza makocha hawawaoni au mpaka wasikie 100milSijui Kocha WENU aliona Nini kwa mount ,si Mara mia angemchukua Yuri Tielemans alikuwa free
Yani huyo ni national treasure dah tokea anasajiliwa Chelsea iliniuma najua ni elite midfield sema tu mfumo wa Chelsea na performance ya msimu uliopita ulimuangushaKiungo Cha manjesta hakina Controller , ulimuona Jana Enzo vs Liverpool
Sasa acheze nani kama MM kachemsha?Sijajua kwa nini ETH anampenda Erickson. Hii mechi ina spidi kubwa haitakiwi mtu mzito, aliyezeeka kama Erickson.
Jamaa una maono dah!Hapa inaweza tokea butua butua nyumbu akapata goal, ingawa hakuna wanachocheza uwanjani