Sasa Mbona mapema sana nyumbuzMount tumepigwa aiseee ile hela tungewekeza kwingine
Hii timu kuna kitu katikati kinakosekana kama driving force flani hamnaMan u ni kama wanaendeleza walipoishia
Mount mm namchukulia Kama mchezaji aliyemaliza mpira kwasasa anakula pensionMount nikama vile tumepigwa na kitu kizito kichwani
Au kitu chenye ncha kali
Kiungo Cha manjesta hakina Controller , ulimuona Jana Enzo vs LiverpoolHii timu kuna kitu katikati kinakosekana kama driving force flani hamna
Coordination ya wacheza ipo low kati hapo mount - casemiro pair ni mbovu
Mbele garancho yule ni well built supersub ukimuanzisha ni mapepe ...Rashford ni preferred left wing zaidi ya ST
So far man utd atashinda ila inabid aamke kutoka usingizini
Kwasasa hawatakuelewa. Kuna kipindi tutafukua makaburi kuwakumbushaHuo mfumo anaotaka kuucheza wa mount na casemiro watachelewa Sana ,
Rashidi ana kauPogba flani hivi mpuuzi huyu, tukiweka matumaini makubwa kwa huyu mswahili msimu huu tutafeli vibaya.Kucheza na Rashford yataka moyo
Guardiola atabaki kuwa mbaguzi tuuSasa Mbona mapema sana nyumbuz